Mama, hata wewe usilazimishe vyombo vya dola vifanye mengine kama inavyotokea katika mataifa mengine

Mama, hata wewe usilazimishe vyombo vya dola vifanye mengine kama inavyotokea katika mataifa mengine

Sema tz wengi tumejifungia sana na kukosa exposure ya mambo yanayoendelea duniani.
Lakini ukifanikiwa kukutana na mtu yeyote kutoka kwenye nchi ambazo huwa tunazitolea mifano ya machafuko na kuwasikiliza kwa umakini pamoja na kuvaa viatu vyao ndipo unajua maana ya HAKI na adabu katika maisha. Pia kumbuka kuona hii unahitaji kuwa na kiasi fulani cha akili ambacho kinakupatia uelewa wa kuyajua haya.
 
Back
Top Bottom