Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Huyo Dogo janja ana pesa gan ndgu .....unatumia vibaya lughamm nasema Dogo janja ni MJINGA SANA
alipomuoa Irene kwanini alimpigia Ndikumana simu
anajiona kaWIN sana,
naye yatamkuta
mwenzake katangulia haijulikani nani atafuata
lakini Irene kafuata pesa za Dogo zikiisha anasepa zake
sasa hapo ndio tutajua nani anafuata
Kichaa kidogo!! hajielewi tu huyu dadaBasi kana kichaa..
Wakishua kichizi sema ndo vile don't care!Oooh kumbe familia iko njema?
Ndo maana namuona Irene na vimradi mradi hapa Sinza?
Mara boutique, mara vipub pub, mara visafari visafari vya kizushi...kumbe mtaji from her momy/ daddy
Wanaume walikua baba zetu tuWanawake walikuwa mama zetu kwishaaa...!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]asije akafa kama mama zari
Ndo maana kiburi....jumapili iliyopita tulienda na shost zangu kwenye kipub chake hapo Sinza mori tukamkuta, tukapanga tumzingue but we were serious na order zetu, sasa wote kwa pamoja tukamwambia "we Irene lete Savannah kumi hapa mezani" wee alitupiga jicho halafu akatufyonza!Wakishua kichizi sema ndo vile don't care!
Ugali mboga saba!hana shida halafu wako wawili tu na mdogo wake
Fact!Anayepaswa kulia na kusikitika ni yeyote alieguswa zaidi na huo msiba haijalishi mama ni mama mkwe au mwenye mume.... Hujakutana na ile unakuwa na uhusiano na mwanamke, baadaye mnaachana kwa ugonvi mkubwa kabisa lakini ndugu zake wanakuwa upande wako na wanaendelea kukuheshimu.
BAHATI MBAYA HAPA BONGO WAZAZI WA WASANII NAO MAISHA YAO NI YA KISANII SANA.BONGO MUVI MPAKA SEBULENI.TUWASAMEHE BUREMama wa Irene Uwoya ameangua kilio kwa kufiwa na Ndikumana Hamadi Katauti na amesema ni mkwe wake kipenzi na alikuwa kama mwanawe na bado walikuwa wakiwasiliana na juzi alikuwa anawasiliana nae na kumwambia awe na subira na kuwa atavumilia yote ya dunia lakini atakuwa mwane mwanzo mwisho mapaka anaingia kaburini na kusisitiza alikuwa akimpenda sana
View attachment 631273
Kwani mama ake ndio kamuoza?Unaoza mtoto huku na huku sijui hata unalia nini
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] daah!hamkunywa?Ndo maana kiburi....jumapili iliyopita tulienda na shost zangu kwenye kipub chake hapo Sinza mori tukamkuta, tukapanga tumzingue but we were serious na order zetu, sasa wote kwa pamoja tukamwambia "we Irene lete Savannah kumi hapa mezani" wee alitupiga jicho halafu akatufyonza!
Tukacheka zetu mara hao tukasepa, tulimuacha anatuchamba mbaya mbaya!
Ni wachache wataelewa huyo mama ni mnafiki, anacheza na kamera. Kwanza sikuzote alikuwa wapi kukemea hayo mambo anayofanya Irene kama kweli alikuwa anampenda sana Ndiku?Kwa hiyo huyo mama kabla ajaanza kulia ndio akaita waandishi wa habari?!
Hatukunywa, tuliona anafanya biashara kwa show off, she's not serious at all[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] daah!hamkunywa?
Ana nyodoo yani pale kama kivuli tu ile business yule msingi kiuno mbonaaHatukunywa, tuliona anafanya biashara kwa show off, she's not serious at all
Hapana mama kaambiwa ni shooting!!!Unaoza mtoto huku na huku sijui hata unalia nini
Warumi amerudi, sijakuona muda humu ndaniHawezi kuwa na unafiki, ila uwoya dunia itamfunza na umalaya wake