Mama Irene Uwoya aangua kilio kikali kwa kufiwa na 'mkwe wake kipenzi' Ndikumana

Mama Irene Uwoya aangua kilio kikali kwa kufiwa na 'mkwe wake kipenzi' Ndikumana

mm nasema Dogo janja ni MJINGA SANA
alipomuoa Irene kwanini alimpigia Ndikumana simu
anajiona kaWIN sana,
naye yatamkuta
mwenzake katangulia haijulikani nani atafuata
lakini Irene kafuata pesa za Dogo zikiisha anasepa zake
sasa hapo ndio tutajua nani anafuata
Huyo Dogo janja ana pesa gan ndgu .....unatumia vibaya lugha
 
Oooh kumbe familia iko njema?

Ndo maana namuona Irene na vimradi mradi hapa Sinza?

Mara boutique, mara vipub pub, mara visafari visafari vya kizushi...kumbe mtaji from her momy/ daddy
Wakishua kichizi sema ndo vile don't care!
Ugali mboga saba!hana shida halafu wako wawili tu na mdogo wake
 
wanawake wanafanyiwa mAkubwa tu wanavumilia na nyie wanaume mjifunze kuvumilia.
 
Hii ni kweli inamuuma kwa namna mtoto wake alivyopotea kwa tutoto.
Mfano mie binti niliyetaka kumwoa alinifanyia vituko sn.Nilikata tamaa mama yake alilia sn alipojua kuwa nimejiweka pembeni.
Binti anapiga Simu kila siku, yamemshinda huko kabisa
 
Wakishua kichizi sema ndo vile don't care!
Ugali mboga saba!hana shida halafu wako wawili tu na mdogo wake
Ndo maana kiburi....jumapili iliyopita tulienda na shost zangu kwenye kipub chake hapo Sinza mori tukamkuta, tukapanga tumzingue but we were serious na order zetu, sasa wote kwa pamoja tukamwambia "we Irene lete Savannah kumi hapa mezani" wee alitupiga jicho halafu akatufyonza!

Tukacheka zetu mara hao tukasepa, tulimuacha anatuchamba mbaya mbaya!
 
Anayepaswa kulia na kusikitika ni yeyote alieguswa zaidi na huo msiba haijalishi mama ni mama mkwe au mwenye mume.... Hujakutana na ile unakuwa na uhusiano na mwanamke, baadaye mnaachana kwa ugonvi mkubwa kabisa lakini ndugu zake wanakuwa upande wako na wanaendelea kukuheshimu.
Fact!
 
Mama wa Irene Uwoya ameangua kilio kwa kufiwa na Ndikumana Hamadi Katauti na amesema ni mkwe wake kipenzi na alikuwa kama mwanawe na bado walikuwa wakiwasiliana na juzi alikuwa anawasiliana nae na kumwambia awe na subira na kuwa atavumilia yote ya dunia lakini atakuwa mwane mwanzo mwisho mapaka anaingia kaburini na kusisitiza alikuwa akimpenda sana

View attachment 631273

BAHATI MBAYA HAPA BONGO WAZAZI WA WASANII NAO MAISHA YAO NI YA KISANII SANA.BONGO MUVI MPAKA SEBULENI.TUWASAMEHE BURE
 
Ndo maana kiburi....jumapili iliyopita tulienda na shost zangu kwenye kipub chake hapo Sinza mori tukamkuta, tukapanga tumzingue but we were serious na order zetu, sasa wote kwa pamoja tukamwambia "we Irene lete Savannah kumi hapa mezani" wee alitupiga jicho halafu akatufyonza!

Tukacheka zetu mara hao tukasepa, tulimuacha anatuchamba mbaya mbaya!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] daah!hamkunywa?
 
Kwa hiyo huyo mama kabla ajaanza kulia ndio akaita waandishi wa habari?!
Ni wachache wataelewa huyo mama ni mnafiki, anacheza na kamera. Kwanza sikuzote alikuwa wapi kukemea hayo mambo anayofanya Irene kama kweli alikuwa anampenda sana Ndiku?
 
angekua mlala hoi angehuzunika tu kawaida ila kwa mshiko alo kua nao utu wake kwa mama mkwe ulizdii
 
Back
Top Bottom