wakuchunguza utawaona tu mada nyingine wewe unajadili mengine balaaaaJamani pole yake
Well hiyo kichwani ni less wigi ama nywele yake org?
NI NYWELE ZAKE MAMA HALFCAST WAKISOMALIJamani pole yake
Well hiyo kichwani ni less wigi ama nywele yake org?
NI HOYOOJamani pole yake
Well hiyo kichwani ni less wigi ama nywele yake org?
Hivi Uwoya ndie aliesababisha eeh?? Au sipo duniani mieTamaa ya kuoa wanawake wazuri, ila irene uwoya ana gharama kubwa ya kulipa, hawezi kuwa na amani maisha yake yote karma is a bitch
Wanawake walikuwa mama zetu kwishaaa...!
Kivipi sasaNa mtot wake Irene amesemaje?
Huyo mdogo wake ni wa kike au kiume mkuuWakishua kichizi sema ndo vile don't care!
Ugali mboga saba!hana shida halafu wako wawili tu na mdogo wake
Mama anamlilia kama mzazi na baba wa mjukuu wake hajasema kuhusu ndoa na mwanae. watu kuachana sio jukumu la wazazi wanaweza kuwa walijaribu kuweka mambo sawa lakini haikuwezekana. hii haina maana kwa sababu kaachana na mtoto wako basi ndio adui yako. Huu ni msiba unaweza kulia au kusikitika kwa kumjuwa mtu au kumsikia tu. Msiba hauna uadui kuna ndoa nyingi zimevunjika lakini family zinaelewana tu sio uadui watu kuachana. kitu sikupenda watu kumrecord mama na kumtupia mtandaoni thats not good.Unafiki mtupu
Chanzo cha kuachana unakijua?Mapenzi ya Irene na ndiku si yalishaisha zamani.?.
Na wakaamua kuachana. Leo kaolewa na mwingine.
Kosa la Irene liko wapi?
Kama ndiku alikuwa bado anampenda Irene. Mpaka ikapelekea kupata ugonjwa wa moyo
ILO NI KOSA LA NDIKU.
Wanajua wenyeweChanzo cha kuachana unakijua?
Kuna kuachwa na kuachana
Mama anaona mbali, anahisi mwanae anaweza patwa na majanga, hasa kama alikufa kama hawapo in good terms. Au labda analia mjukuu atatunzwa na nani?
Papa msofe albino?...Ana nyodoo yani pale kama kivuli tu ile business yule msingi kiuno mbonaa
Unamkumbuka papa musofe?ntakupa stori yake nasahihisha kwanza
Kama wanajua wenyewe wewe unaanzaje kusema ni KOSA LA NDIKU?Wanajua wenyewe
Rudi usome Ile comment. Ukielewa njooKama wanajua wenyewe wewe unaanzaje kusema ni KOSA LA NDIKU?
Ndiku na mama uwoya walikua wanapatana sana, nduku alikua anampost mbona mama uwoya na kumsifia kuwa alikau anamfariji, hakuna unafiki hapoUchungu lazima apate maana jamaa alizaa na Uwoya hivyo walikuwa wameunganisha damu. Mama sio mnafiki
Irene wakishua, ni vile tu alikimbia shule, hana shida yuleOooh kumbe familia iko njema?
Ndo maana namuona Irene na vimradi mradi hapa Sinza?
Mara boutique, mara vipub pub, mara visafari visafari vya kizushi...kumbe mtaji from her momy/ daddy
Na mbona hawajaoana na dogo janja, ile ilikua movie inaitwa SARAFU, wapo mastaa kibao, lulu, idrisaKichaa kidogo!! hajielewi tu huyu dada
Wewe acha umbea, ndiku alikua na ukaribu sana na mama uwoya, hata kwenye page ya ndiku alikua anampost sana mama wema na kumshukuru kwa kumpa moyo na kumfariji, huyo mama hana unafiki, walikua karibu sana na mama uwoyaNi wachache wataelewa huyo mama ni mnafiki, anacheza na kamera. Kwanza sikuzote alikuwa wapi kukemea hayo mambo anayofanya Irene kama kweli alikuwa anampenda sana Ndiku?
I have already understood your comment, that's why i criticize you!!Rudi usome Ile comment. Ukielewa njoo