Mama Irene Uwoya aangua kilio kikali kwa kufiwa na 'mkwe wake kipenzi' Ndikumana

Mama Irene Uwoya aangua kilio kikali kwa kufiwa na 'mkwe wake kipenzi' Ndikumana

Ndikumana wenyewe alikuwa lofa tu, yaani watoto wazuri waliojaa Kigari, unakwenda kuangia kwa kahaba?
 
Tamaa ya kuoa wanawake wazuri, ila irene uwoya ana gharama kubwa ya kulipa, hawezi kuwa na amani maisha yake yote karma is a bitch
Hivi Uwoya ndie aliesababisha eeh?? Au sipo duniani mie
 
  • Thanks
Reactions: ovi
Unafiki mtupu
Mama anamlilia kama mzazi na baba wa mjukuu wake hajasema kuhusu ndoa na mwanae. watu kuachana sio jukumu la wazazi wanaweza kuwa walijaribu kuweka mambo sawa lakini haikuwezekana. hii haina maana kwa sababu kaachana na mtoto wako basi ndio adui yako. Huu ni msiba unaweza kulia au kusikitika kwa kumjuwa mtu au kumsikia tu. Msiba hauna uadui kuna ndoa nyingi zimevunjika lakini family zinaelewana tu sio uadui watu kuachana. kitu sikupenda watu kumrecord mama na kumtupia mtandaoni thats not good.
 
Mapenzi ya Irene na ndiku si yalishaisha zamani.?.
Na wakaamua kuachana. Leo kaolewa na mwingine.
Kosa la Irene liko wapi?
Kama ndiku alikuwa bado anampenda Irene. Mpaka ikapelekea kupata ugonjwa wa moyo
ILO NI KOSA LA NDIKU.
Chanzo cha kuachana unakijua?
Kuna kuachwa na kuachana
 
Oooh kumbe familia iko njema?

Ndo maana namuona Irene na vimradi mradi hapa Sinza?

Mara boutique, mara vipub pub, mara visafari visafari vya kizushi...kumbe mtaji from her momy/ daddy
Irene wakishua, ni vile tu alikimbia shule, hana shida yule
 
Ni wachache wataelewa huyo mama ni mnafiki, anacheza na kamera. Kwanza sikuzote alikuwa wapi kukemea hayo mambo anayofanya Irene kama kweli alikuwa anampenda sana Ndiku?
Wewe acha umbea, ndiku alikua na ukaribu sana na mama uwoya, hata kwenye page ya ndiku alikua anampost sana mama wema na kumshukuru kwa kumpa moyo na kumfariji, huyo mama hana unafiki, walikua karibu sana na mama uwoya
 
Back
Top Bottom