Mama J, shabiki wa Yanga

Mama J, shabiki wa Yanga

Hata mm naona photoshop ndio maana nikakuuliza ww nikijua upo jikoni mtoto wa Jiji
huyo mlevi aliyezisambaza picha na clip angeshtakiwa kwanza ili Bibie apate nafuu
Habari naona haina ukweli

Yah,kujirekodi walichemka sana

Ova
 
Mkuu,huyo Mama J Mungu ameamua kumfichua maovu yake ili Mume wake ajue kua hakua na Mke,Mwisho wa ubaya siku zote ni aibu,na siku za mwizi ni 40
Huyu binti jamaa aliyemuoa angeomba ushauri kwanza vijana wa IFM maana kaingia chaka takatifu watu wameanza matunda yote mda sana

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Huyu binti jamaa aliyemuoa angeomba ushauri kwanza vijana wa IFM maana kaingia chaka takatifu watu wameanza matunda yote mda sana

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Aliolewa na jamaa mtu mzima sana chanzo ni mali, na ndipo alipopatia mtaji wa biashara na good life, baada ya hapo akadai talaka mahakamani na kwa vile alishazaa nae mtoto mmoja basi akapata mali,halafu huyo Edo ni bwanake wa miaka yote toka wapo IFM.
 
eti Kofi aletwe na mwanamziki wa kariba ya Nandi ale ugali samaki kwenye hotpot za plastic,au ale makande kwa shishi food, aje kuwatumbuiza kina Mama j pale kwa mkapa kwa kiingilio cha buku tano,huyo sio Olomide tunayemjua
 
Back
Top Bottom