Mama J, shabiki wa Yanga

Mama J, shabiki wa Yanga

Wote mlionayo hiyo video na kuamua kuninyima connection ahsanteni sana maana utafikiri mnaninyima chakula!​

Nawaombea simu zenu zenu mabattery yafe na simu zisishike tena network, au mabattery yaripuke na misimu yenu isitengenezeke tena.​

[emoji848][emoji848][emoji848]
hahahaha
 
Mama J hawezi kujinyonga, acheni uzushi mtoto wa mjini yule wa mjini hasaaaa kapitia mengi hii ni ajali kama ajali zingine na maisha yaendelee.
Kama Edo amekuwa naye miaka yote hiyo kwanini anaendekeza utoto wa kurekodi video?.
 
Aliolewa na jamaa mtu mzima sana chanzo ni mali, na ndipo alipopatia mtaji wa biashara na good life, baada ya hapo akadai talaka mahakamani na kwa vile alishazaa nae mtoto mmoja basi akapata mali,halafu huyo Edo ni bwanake wa miaka yote toka wapo IFM.
Edo kasoma IFM gani? Alikuwa ana jamaa anaitwz hans bonge alikuwa njema sana yule dogo.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Wanao taka video pm kuanzia saw sita kamili na ukipata mpe na mwezio

USSR
 
Wote mlionayo hiyo video na kuamua kuninyima connection ahsanteni sana maana utafikiri mnaninyima chakula!​

Nawaombea simu zenu zenu mabattery yafe na simu zisishike tena network, au mabattery yaripuke na misimu yenu isitengenezeke tena.​

[emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom