Mama Janeth Magufuli awasili Dodoma akiwa amevaa Barakoa...

Kule Twitter Mkuu watu wanamshauri sana kuhusu umuhimu wa kuvaa barakoa lakini naona katia pamba masikioni. Tunaumia kwa dharau zisizo na kichwa wala miguu.
Labda nae Ikulu imeshamchosha na anataka kwenda Kaburini huko Kwao Unguja Kisiwani Zanzibar Ndugu. We muache tu afanye Masihara na Corona wakati mfano ulio dhahiri ameshauona.
 
Kwani kuna watu wamekatazwa kuvaa barakoa katika hii nchi? Suala la kujikinga wewe kwanini ulazimishe na wengine? Hilo ni gubu,
Unaacha kuwaza ya kukupa ugali unawaza kwanini Mama Janeth kavaa barakoa!
 
Kwa mara ya Kwanza kabisa baada tu ya Kutua Mkoani Dodoma ( Makao Makuu ya Nchi ) ameonekana akiwa amevalia Barakoa na pia akiwa hataki kabisa Kupeana ( Kushirikiana ) Mikono na Watu.

View attachment 1731150

View attachment 1731197
Maswali yangu ni kama yafuatayo..

1. Kwanini Mumewe ( Hayati Rais Dkt. Magufuli ) alipokuwa Hai alikuwa havai Barakoa?

2. Je, Kuvaa Kwake Barakoa Leo anajaribu kutuma Ujumbe gani uliofichika Kwetu Watanzania ambao pengine Kimoyomoyo anatuonea mno Huruma pamoja na Kufurika Kwetu Viwanjani na Barabarani pembezoni?

3. Je, kuna Uwezekano mkubwa kuwa labda Mumewe alipokuwa Hai alikuwa akimshauri avae Barakoa na akawa hapewi Ushirikiano nae na hata Yeye ( Mama Janet ) Kuamriwa kutovaa Barakoa?

4. Je, ni kwanini muda wote alipokuwa Dar es Salaam tena katika Msongamano mkubwa wa Watu ( Waombolezaji ) hakuvaa Barakoa ila amefika tu Dodoma Jioni hii amevalia?

5. Je, kwa Kitendo cha Yeye ( Mama Janet Magufuli ) Mke wa Marehemu Hayati Rais Dkt. Magufuli kuonekana kwa mara ya Kwanza Kavalia Barakoa Uwanja wa Ndege Dodoma ikihisiwa kuwa huenda Dodoma Maambukizi ya Corona ni makubwa sana ila tunafichwa tu tutakuwa tunakosea?

6. Je, kwa Muonekano wa Kimasikitiko ( japo tunajua ana Majonzi makubwa ) siyo kwamba Mama wa Watu pengine ana Maumivu makubwa ya Uzembe juu ya Kupuuzwa kwa Janga la Corona nchini Tanzania?

7. Je, kwa mfano ( nasisitiza tena mfano ) ikitokea labda Mumewe ( sasa Marehemu Rais Dkt. Magufuli ) angefufuka kwa bahati mbaya tu au nzuri Mkewe Mama Janet Magufuli hiyo Barakoa angeitupa kwa Uwoga kwakuwa Mumewe alipinga sana Uvaaji wa Barakoa na hakuwahi Kuvaa au angeificha katika Pochi au angempa Mtu amshikie au ajifanye ni yake?

Mwisho nasema tu tujikinge na Corona.

Imeisha hiyo!!!
Ndege unapanda na barakoa. Namuonea huruma sana Mama Janeth. Lets hope hatasahaulika. Maana msiba huu umekuwa mzito sana kwake
 
Kwa msongamano huu tutarajie yasiyotarajiwa baada ya muda kidogo

Kuna mahala nasikia hapa hapa Afrika tulipo Corona + Parkison na Corona + Ageing ama imelaza Watu Hoi ( Mahututi ) au imeshafyeka Mmoja au Wote wawili. Naendelea Kusisitiza barani Afrika sasa Wewe jifanye una Kiherehere chako halafu uhisi unavyojua Wewe.

Imeisha hiyo!!
 
Kwa mara ya Kwanza kabisa baada tu ya Kutua Mkoani Dodoma ( Makao Makuu ya Nchi ) ameonekana akiwa amevalia Barakoa na pia akiwa hataki kabisa Kupeana ( Kushirikiana ) Mikono na Watu.

View attachment 1731150

View attachment 1731197
Maswali yangu ni kama yafuatayo..

1. Kwanini Mumewe ( Hayati Rais Dkt. Magufuli ) alipokuwa Hai alikuwa havai Barakoa?

2. Je, Kuvaa Kwake Barakoa Leo anajaribu kutuma Ujumbe gani uliofichika Kwetu Watanzania ambao pengine Kimoyomoyo anatuonea mno Huruma pamoja na Kufurika Kwetu Viwanjani na Barabarani pembezoni?

3. Je, kuna Uwezekano mkubwa kuwa labda Mumewe alipokuwa Hai alikuwa akimshauri avae Barakoa na akawa hapewi Ushirikiano nae na hata Yeye ( Mama Janet ) Kuamriwa kutovaa Barakoa?

4. Je, ni kwanini muda wote alipokuwa Dar es Salaam tena katika Msongamano mkubwa wa Watu ( Waombolezaji ) hakuvaa Barakoa ila amefika tu Dodoma Jioni hii amevalia?

5. Je, kwa Kitendo cha Yeye ( Mama Janet Magufuli ) Mke wa Marehemu Hayati Rais Dkt. Magufuli kuonekana kwa mara ya Kwanza Kavalia Barakoa Uwanja wa Ndege Dodoma ikihisiwa kuwa huenda Dodoma Maambukizi ya Corona ni makubwa sana ila tunafichwa tu tutakuwa tunakosea?

6. Je, kwa Muonekano wa Kimasikitiko ( japo tunajua ana Majonzi makubwa ) siyo kwamba Mama wa Watu pengine ana Maumivu makubwa ya Uzembe juu ya Kupuuzwa kwa Janga la Corona nchini Tanzania?

7. Je, kwa mfano ( nasisitiza tena mfano ) ikitokea labda Mumewe ( sasa Marehemu Rais Dkt. Magufuli ) angefufuka kwa bahati mbaya tu au nzuri Mkewe Mama Janet Magufuli hiyo Barakoa angeitupa kwa Uwoga kwakuwa Mumewe alipinga sana Uvaaji wa Barakoa na hakuwahi Kuvaa au angeificha katika Pochi au angempa Mtu amshikie au ajifanye ni yake?

Mwisho nasema tu tujikinge na Corona.

Imeisha hiyo!!!
Acha upumbavu nini kimekushangaza yeye kuvaa barakos???!.
 
Ukijikinga mwenyewe inatosha, mbona swala la kujikinga mnalazimishaga sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
Kujikinga mwenyewe haitoshi rejea hapa 👇
unnamed.png
 
Ushabiki wa kijinga katika siasa ni ushamba na kujibebesha chuki ambazo zitakusabsbishia usione uzuri wa jambo hata kama jema. Mkuu achana na kuweka ukakasi kila jambo kutia watu ubaya huko mbinguni mtaenda kuulizwa mlitumia vipi akili zenu?
Tafadhali tusipangiane cha Kuandika JF.
 
Kwani kuna watu wamekatazwa kuvaa barakoa katika hii nchi? Suala la kujikinga wewe kwanini ulazimishe na wengine? Hilo ni gubu,
Unaacha kuwaza ya kukupa ugali unawaza kwanini Mama Janeth kavaa barakoa!
Jitahidi sana upunguze Upumbavu unaokusumbua.
 
Tena amechelewa sana kuchukua hizo hatua
Kuna nyepe nyepe ( tetesi ) zinasema karibia 85% ya Staff wa Majumba Meupe ya Magogoni na Chamwino Wameikaribisha Corona kwa Mikono yao yote Miwili na kwamba kila Mmoja itamlaza kwa muda wake au vile itakavyopenda yenyewe.
 
Tutashuhudia MaRais wakiapishwa Hadi tuchoke. Jiwe aliekuwa ngangari anapiga kazi mpaka saa 8 usiku kazimika kama mshumaa,acha walete utani na corona.
Natamani sana Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan aisome hii post yako Ndugu huko ( pale ) Chamwino aliko sasa kabla Walinzi wake hawajamruhusu kwenda Chumbani Kuyajenga zaidi na Mumewe First Gentleman Mr. Ameir.
 
Back
Top Bottom