Mama Janeth Magufuli awasili Dodoma akiwa amevaa Barakoa...

Kwa mara ya Kwanza kabisa baada tu ya Kutua Mkoani Dodoma ( Makao Makuu ya Nchi ) ameonekana akiwa amevalia Barakoa na pia akiwa hataki kabisa Kupeana ( Kushirikiana ) Mikono na Watu.

View attachment 1731150

View attachment 1731197
Maswali yangu ni kama yafuatayo..

1. Kwanini Mumewe ( Hayati Rais Dkt. Magufuli ) alipokuwa Hai alikuwa havai Barakoa?

2. Je, Kuvaa Kwake Barakoa Leo anajaribu kutuma Ujumbe gani uliofichika Kwetu Watanzania ambao pengine Kimoyomoyo anatuonea mno Huruma pamoja na Kufurika Kwetu Viwanjani na Barabarani pembezoni?

3. Je, kuna Uwezekano mkubwa kuwa labda Mumewe alipokuwa Hai alikuwa akimshauri avae Barakoa na akawa hapewi Ushirikiano nae na hata Yeye ( Mama Janet ) Kuamriwa kutovaa Barakoa?

4. Je, ni kwanini muda wote alipokuwa Dar es Salaam tena katika Msongamano mkubwa wa Watu ( Waombolezaji ) hakuvaa Barakoa ila amefika tu Dodoma Jioni hii amevalia?

5. Je, kwa Kitendo cha Yeye ( Mama Janet Magufuli ) Mke wa Marehemu Hayati Rais Dkt. Magufuli kuonekana kwa mara ya Kwanza Kavalia Barakoa Uwanja wa Ndege Dodoma ikihisiwa kuwa huenda Dodoma Maambukizi ya Corona ni makubwa sana ila tunafichwa tu tutakuwa tunakosea?

6. Je, kwa Muonekano wa Kimasikitiko ( japo tunajua ana Majonzi makubwa ) siyo kwamba Mama wa Watu pengine ana Maumivu makubwa ya Uzembe juu ya Kupuuzwa kwa Janga la Corona nchini Tanzania?

7. Je, kwa mfano ( nasisitiza tena mfano ) ikitokea labda Mumewe ( sasa Marehemu Rais Dkt. Magufuli ) angefufuka kwa bahati mbaya tu au nzuri Mkewe Mama Janet Magufuli hiyo Barakoa angeitupa kwa Uwoga kwakuwa Mumewe alipinga sana Uvaaji wa Barakoa na hakuwahi Kuvaa au angeificha katika Pochi au angempa Mtu amshikie au ajifanye ni yake?

Mwisho nasema tu tujikinge na Corona.

Imeisha hiyo!!!
Yule Mama anaonekana ni mwenye kusikia kwani Viongozi wa Kiimani walishasema Corona ipo kwa hawezi kuwabishia kwani anaelewa ila wanasiasa hawaelewi. Wanaona wakisema ipo ni aibu sijui.
 
Udadisi mwingine Ni vyema ukaumalizia moyoni siyo lazima jukwaani kila kitu.
Krolokwini ni Chungu lakini ndiyo Dawa nzuri ya Malaria ( Kipindi hicho tunakuwa miaka ya 80 mpaka mwanzoni mwa 2000 ) hivyo All - Rounder ( alias ) Brainiac sipo hapa Kulea Unafiki na Upumbavu wenu wa Kujipendekeza kwa Mabwana zenu waliolala Kimoja sasa. Fanyeni mambo mema muone kama Mtakosolewa. Bila Udadisi wa aina ya Mama yako Mzazi alivyokuwa na tabia njema sidhani hata kama Mpendwa Baba yako angempenda na Kumuoa kisha Kukuzaa Wewe. Udadisi ni sehemu ya Umakini wa Mwanadamu na Mimi Kuhoji hivi Kiudadasi kuna Jambo lenye Faida Kwetu sote hapa JF nataka tulijue ili litusaidie mbeleni tusije rudia tena Makosa.

Na huwa sianzishi Mada zangu kwa Kukurupuka au Kutumika au sijui Mimi ni Mpinzani CHADEMA bali huwa napenda Kutengeneza Mijadala yenye taswira ya Tafakuri Tunduizi ( Critical Thinking ) ili tuongeze Ufahamu wetu wa Kimaarifa nikiamini kwamba kila Siku ni Siku ya Kujifunza mapya kwani Elimu na Maarifa havina Ukomo ( Mwisho ) sawa? Wasambazie post hii Wapuuzi Wenzako wote wenye Mawazo mabovu kama yako tafadhali.

Imeisha hiyo!!!
 
Kwa ujumla Mama Samia inatakiwa achukue maamuzi mapema kwani asishupaze shingo mbona Jk na wengine wanavaa
Exposure ya JK Globally ni Kubwa kuliko ya aliyeondoka ndiyo maana Yeye ( JK ) anaheshimu mno Maelekezo ya Wataalam ( Wanasayansi ) na hata yale ya WHO vile vile.

Waliobisha, Waliopuuza na Kuficha kuwa Tanzania hakuna Corona imeshawafyeka na sasa kubakia Historia tu kwa Watanzania na Ulimwengu.
 
Samia an exposure kubwa sana. Alifanya kasi kwenye NGos na pia alishafanya kazi UN-FAO
Anajua sana kila kitu,

Akifanya mchezo tutarudi uwanja wa uhuru.
Sorry : huyu ni mwislamu anazikqa siku hio hio
 
Kuna nyepe nyepe ( tetesi ) zinasema karibia 85% ya Staff wa Majumba Meupe ya Magogoni na Chamwino Wameikaribisha Corona kwa Mikono yao yote Miwili na kwamba kila Mmoja itamlaza kwa muda wake au vile itakavyopenda yenyewe.
Kuna jamaa yangu yupo Dodoma a month ago mzee akiwa Dar jamaa alienda jumba la Chamwino kufanya kazi flani alikuwa amevaa barakoa ila getini askari wakamwambia "hayo mavitambaa yenu ya kufunika mdomo hayatakiwi humu ndani" ikabidi jamaa avue barakoa ndiyo akaruhusiwa kuingia.
 
Kwa mara ya Kwanza kabisa baada tu ya Kutua Mkoani Dodoma ( Makao Makuu ya Nchi ) ameonekana akiwa amevalia Barakoa na pia akiwa hataki kabisa Kupeana ( Kushirikiana ) Mikono na Watu.

View attachment 1731150

View attachment 1731197
Maswali yangu ni kama yafuatayo..

1. Kwanini Mumewe ( Hayati Rais Dkt. Magufuli ) alipokuwa Hai alikuwa havai Barakoa?

2. Je, Kuvaa Kwake Barakoa Leo anajaribu kutuma Ujumbe gani uliofichika Kwetu Watanzania ambao pengine Kimoyomoyo anatuonea mno Huruma pamoja na Kufurika Kwetu Viwanjani na Barabarani pembezoni?

3. Je, kuna Uwezekano mkubwa kuwa labda Mumewe alipokuwa Hai alikuwa akimshauri avae Barakoa na akawa hapewi Ushirikiano nae na hata Yeye ( Mama Janet ) Kuamriwa kutovaa Barakoa?

4. Je, ni kwanini muda wote alipokuwa Dar es Salaam tena katika Msongamano mkubwa wa Watu ( Waombolezaji ) hakuvaa Barakoa ila amefika tu Dodoma Jioni hii amevalia?

5. Je, kwa Kitendo cha Yeye ( Mama Janet Magufuli ) Mke wa Marehemu Hayati Rais Dkt. Magufuli kuonekana kwa mara ya Kwanza Kavalia Barakoa Uwanja wa Ndege Dodoma ikihisiwa kuwa huenda Dodoma Maambukizi ya Corona ni makubwa sana ila tunafichwa tu tutakuwa tunakosea?

6. Je, kwa Muonekano wa Kimasikitiko ( japo tunajua ana Majonzi makubwa ) siyo kwamba Mama wa Watu pengine ana Maumivu makubwa ya Uzembe juu ya Kupuuzwa kwa Janga la Corona nchini Tanzania?

7. Je, kwa mfano ( nasisitiza tena mfano ) ikitokea labda Mumewe ( sasa Marehemu Rais Dkt. Magufuli ) angefufuka kwa bahati mbaya tu au nzuri Mkewe Mama Janet Magufuli hiyo Barakoa angeitupa kwa Uwoga kwakuwa Mumewe alipinga sana Uvaaji wa Barakoa na hakuwahi Kuvaa au angeificha katika Pochi au angempa Mtu amshikie au ajifanye ni yake?

Mwisho nasema tu tujikinge na Corona.

Imeisha hiyo!!!
Sawa
 
Hajafa mpaka leo? Mpigie Simu ili tujue.
 
Tuache udwanzi kuvaa barakoa ni muhimu
 
Sheria ya kuingia katika ndege lazima uvae barakoa. Wewe mpuuzi kweli
 
Kimsingi, barakoa inamfanya mtu ashindwe kupumua vizuri, anavuta carbon dioxide ambayo ni hewa chafu! Lazima side effects zake ni kubwa zaidi ya watu wanavyodhani.

"Wote wamwinio Yesu wajapokufa watakuwa wanaishi"

YESU ndiye BWANA!
 
Kwani kuna watu wamekatazwa kuvaa barakoa katika hii nchi? Suala la kujikinga wewe kwanini ulazimishe na wengine? Hilo ni gubu,
Unaacha kuwaza ya kukupa ugali unawaza kwanini Mama Janeth kavaa barakoa!
Kila mtu ana mawazo yake. Usimpangie mtu cha kuandika ama kuhoji, wewe kawaze kuhusu huo ugali...
 
Yaani Tanzania tumejaliwa ujinga wa kuhoji vitu visivyo na msingi kabisa sijui akili zetu zikoje mtu unaanzaje kukaa na kuandika upuuzi kama huu suala la kuvaa barakoa ni la mtu binafsi tu hakuna mtu atakuambia vaa au usivae
 
Ni kwako ndio itakuwa hivyo. Ulishaona mwehu anayekula jalalani anaugua corona?. Acha watanzania wainjoy maisha yao waliyozoea. Barakoa vaa wewe uliyozoea kuiba Mali za umma hadi kisukari kikakushika ,ww ndio uko kwenye risk kubwa ya kupata corona
Duuh watu bana hua mnapanic bila kusoma tune ya mtu.
 
Back
Top Bottom