Mama Janeth Magufuli awasili Dodoma akiwa amevaa Barakoa...

Nadhani ni sababu ya kupanda ndege maana sheria za viwanja vya ndege ni lzm kuvaa barakoa.

Sent from my Pace 2 Lite using JamiiForums mobile app
 
Yaani Tanzania tumejaliwa ujinga wa kuhoji vitu visivyo na msingi kabisa sijui akili zetu zikoje mtu unaanzaje kukaa na kuandika upuuzi kama huu suala la kuvaa barakoa ni la mtu binafsi tu hakuna mtu atakuambia vaa au usivae
Upuuzi umeusoma wote sasa kati yangu na Wewe nani ni Mpuuzi Mwandamizi?
 
Hiyo namba 5, pengine ndio chanzo cha haya yanayojiri, kaamua ajiepushe.
 
Mkuu umeeleza sana na umeuliza maswali sana
Lakini kikubwa umezungumzia barakoa. Kama Unataka kuvaa barakoa wewe vaa katiba inaruhusu mkuu wewe vaa

Mbona mnazungumzia sana barakoa, Sanitizer hamzijui Mbona mnaziacaha nyuma ?

Mkuu umeeleza sana na umeuliza maswali sana
Lakini kikubwa umezungumzia barakoa. Kama Unataka kuvaa barakoa wewe vaa katiba inaruhusu mkuu wewe vaa

Mbona mnazungumzia sana barakoa, Sanitizer hamzijui Mbona mnaziacaha nyuma ?

Mnaweza vaa sana hayo mabarakoa yenu na kutumia sana masanitaiza yenu and still kihatarishi - Covid 19 kikapenya kwa mwili; na endapo kihatarishi kikikuta kinga ya mwili iko chini basi hayo mabarakoa na masanitaiza yatakuwa useless.

Kitu cha msingi sana ni kuimarisha kinga ya mwili wako
 
Hu

Huku kwenye daladala tunabanana zero difference yaani kama korona ipo kwa ajili ya wasiovaa barakoa nadhani daladala zisingekuwa Zina fanya kazi

Covid ipo maalum kwa ajili ya kuwanyoosha watu maarufu na wenye uwezo kiuchumi ili maskini wainuliwe

Huu ni mpango wa Mungu
 
Hakuna mtu aliyekufa kwa corona Tz, acha kutupoteza bhanaaa, tuache na Tanzania yetuuuuu,
 
Kwani kuna mtu aliyekufa kwa corona Tz? Acha kutupoteza. Hivi inawezekanaje siri zote za serikali zinavujavuja tu kwenye mitandao. Na lengo linakuwa ni nini.
 
Watu wanapokuelimisha kuhusu upuuzi wako na hutaki kukubali tunakuacha maana usije ukatuambukiza
Hata Yule aliyekutapika Leba Wodi ya Uzazi nae Kawaambukiza wengi tu.
 
Mungu wetu anatulinda tena atazidi kutulinda kwa vile halii imejitokeza tu ghafla kwa imani yangu tutakuwa salama barakoa siyo kitu imani inatosha asante baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…