Mama Janneth Magufuli asante kwa neno hili la hekima na unyenyekevu- Mungu akupe nguvu ya kuubeba msiba huu

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
“Mheshimiwa Rais nilikupigia simu lakini kwa bahati mbaya sikukupata lakini baadae ulinipigia na nikakuomba uhudhurie shughuli hii ukakubali na uliniahidi kuwa utakuja japokuwa sikuomba kwa maandishi lakini umekuja,asante sana umeniheshimu sana Mama”

"Tunakuombea Mungu akupe nguvu ya kuendelea kuongoza Taifa vema na Mungu azidi kukulinda akupe maisha marefu,"

“Ni imani yangu Dini zote tumefundishwa kushukuru kwa kila jambo naomba muungane nami katika kumshukuru Mungu, tunamshukuru Mungu kwa neema zake kwani ilimpendeza kujifunza mema mengi kutoa kwa Hayati Magufuli hakika tutayaishi na kuyaenzi daima,"

1647600443802.png

Kweli Mkuu msiba unauma. Embu fikiri pia Maumivu ya Mama Ben Saanane nayo yakoje katika kubeba msiba wa mwanae ambaye hata hakumzika!
Mkuu serikali zote duniani huwa zinaua wale ambao wanaonekana kidomodomo nikuambie.

Unadhani Kuna uongozi unapita bila ya kuua. Watu wanazamishwa baharini wamefungwa chuma/mawe wawe chakula Cha papa.

Yaani mkuu wako wa nchi unamtukana halafu eti uachwe hivihivi.

Hata huko USA Kuna miaka walikuwa wanadhibiti wanawake wasivae nguo ndefu Kama wadhani ndio baba wa demokrasia.

Pia huwezi jua yote ya USA Mana wao wanaamua usikie wanachotaka wao sio Kama wewe unavyotaka.
 
Halafu Mbowe anasema yeye mwema tena kanisani KKKT
Mkuu umeanzisha uzi mzuri sana na wenye kugusa hisia.

Sasa anakuja mropokaji mmoja ana kutoa katika reli, na wewe badala kuisimamia hoja yako nzuri, kiurahisi kabisa unaitelekeza na kijiunga na uchuro wake.
 
Sio kweli, uliyoandika hapa ni UONGO mkubwa
Mkuu serikali zote duniani huwa zinaua wale ambao wanaonekana kidomodomo nikuambie.
Unadhani Kuna uongozi unapita bila ya kuua. Watu wanazamishwa baharini wamefungwa chuma/mawe wawe chakula Cha papa.
Yaani mkuu wako wa nchi unamtukana halafu eti uachwe hivihivi.
Hata huko USA Kuna miaka walikuwa wanadhibiti wanawake wasivae nguo ndefu Kama wadhani ndio baba wa demokrasia.
Pia huwezi jua yote ya USA Mana wao wanaamua usikie wanachotaka wao sio Kama wewe unavyotaka.
 
Sio kweli, uliyoandika hapa ni UONGO mkubwa
Umri wako bado. Mengine yaache yapite tu, ukipata nafasi utayajua tu. Otherwise jivunie Fikra zako pasipo kupunguza chochochote.
 
Mkuu serikali zote duniani huwa zinaua wale ambao wanaonekana kidomodomo nikuambie.

Unadhani Kuna uongozi unapita bila ya kuua. Watu wanazamishwa baharini wamefungwa chuma/mawe wawe chakula Cha papa.

Yaani mkuu wako wa nchi unamtukana halafu eti uachwe hivihivi.

Hata huko USA Kuna miaka walikuwa wanadhibiti wanawake wasivae nguo ndefu Kama wadhani ndio baba wa demokrasia.

Pia huwezi jua yote ya USA Mana wao wanaamua usikie wanachotaka wao sio Kama wewe unavyotaka.
kwa hiyo kiongozi wa serikali akiua ni sawa na anakuwa na ondoleo la dhambi kwa Mungu?
 
Kweli Mkuu msiba unauma.

Embu fikiri pia Maumivu ya Mama Ben Saanane nayo yakoje katika kubeba msiba wa mwanae ambaye hata hakumzika!

Dah, Mungu awape faraja kwa kweli
 
Ila kweli lazima umshukuru Mungu maana enzi za marehemu ulikonda Sana!!naona Sasa unakula pension umenenepa Sana!!ina maana kumbe jamaa alikua anakubana Sana!!! AISEH Hawa wanawake Hawa ni wanafiki Sana!!
 
Lile limarehemu lilikuwa lina roho & sura mbaya ila mke mzuri & mkarimu
 
Mleta mada hebu weka nukuu zako kwa usahihi. Kubadilisha neno moja tu yaweza pia kubadilisha mantiki/ujumbe kusudiwa wa msemaji.

Alimpigia simu lakini 'hakumpata'... X

Alimpigia simu lakini 'hakufanikiwa'... ✓

-Kaveli-
 
kwa hiyo kiongozi wa serikali akiua ni sawa na anakuwa na ondoleo la dhambi kwa Mungu?
Anapoua ni Kama kiongozi wa nchi na sio kuwa ni yeye binafsi Mana before Hana hayo mamlaka. Unadhani wewe ni serikali ya dunia gani haipotezi raia wake wenye kuonyesha kuleta chaos katika nchi yake mkuu.
You've to be ruled by any means.
 
"Tunamshukuru Mungu".... kwa kua ilimpendeza amtambalishe yule mshamba

Nimeondoka na hilo

ALIYESEMA ATAUA UPINZANI KAFA YEYE KAACHA WAPINZANI WANA-JOIN THE CHAIN
 
“Mheshimiwa Rais nilikupigia simu lakini kwa bahati mbaya sikukupata lakini baadae ulinipigia na nikakuomba uhudhurie shughuli hii ukakubali na uliniahidi kuwa utakuja japokuwa sikuomba kwa maandishi lakini umekuja,asante sana umeniheshimu sana Mama”

"Tunakuombea Mungu akupe nguvu ya kuendelea kuongoza Taifa vema na Mungu azidi kukulinda akupe maisha marefu,"

“Ni imani yangu Dini zote tumefundishwa kushukuru kwa kila jambo naomba muungane nami katika kumshukuru Mungu, tunamshukuru Mungu kwa neema zake kwani ilimpendeza kujifunza mema mengi kutoa kwa Hayati Magufuli hakika tutayaishi na kuyaenzi daima,"
Msiba ulishaisha au ndio kila siku ni msiba? Njaa zitawafanya muabudu mizimu hii ni kumbukumbu sio msiba msitumie jina la Magufuli kwa kujinufaisha.

Kama kweli nyie mnamuenzi basi tungeona hata mtu mmoja akaonyesha kufuata nyayo zake sio kila siku kujifanya mnamuenzi ili muweke makongamano ya kujilipa mjaze matumbo yenu.
 
Back
Top Bottom