Mama January atimiza miaka 70, January Makamba amsindikiza mama yake Kanisani

Halafu bado watu wanamuita January Makamba ni kiongozi kijana, mtu ambae yupo over 50yrs🤣🤣🤣
 
Hongera mama January na Baba january kwa kushinda ulimbukeni wa dini. Hapo wengine wangelazimishana mmoja abadili dini lakini ninyi mmeweza kuishi pamoja kila mtu akiheahimu dini ya mwenzake. Hakika huu ni mfano mkubwa wa kuigwa. Nilikuaha sielewi kwenini mzee makamba anaikua biblia sasa nimejua sababu. Hongera wazee kwa fundisho kubwa hili.
 
Yani lijanuary ni lizuriii, hiyo height...Yani linafaa kuwa Rais kabisa. Tupate Rais mrefu wakati wake ukifika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…