Mama Kanumba Alengwa Lengwa Na Machozi Mbele Ya Umati Wa Watu Baada Ya Kununuliwa Gari Mpyaaa Na Rais Samia . Amimina Shukurani Nzito Kwa Rais Samia

Ooh, hawasaidii orphans kwa kuwa hakuwazaa? Is that how it works with Samia? Vipi kuhusu kuwaua watoto ambao hakuwazaa, I presume that was very fine with her. Kwa hiyo yeye ndiyo kamzaa huyo bibi aliyempa gari or is she just hunting for cheap publicity?
Watu wanatengeneza movi tu, yaani Samia akae Ikulu awaze kumnunulia mama Kanumba gari kati ya wanawake wote waliofiwa na watoto wao Tanzania, kwa lipi!? Siku hizi kuboost popularity ya mama mtu akiwa na katukio kake anachomekea Samia kafanya.
 
Kwani hao watoto alizaa yeye na kuwapeleka Kukaa barabarani? Yaani uzae wewe halafu utake Rais wetu awajibike kuwatunza kwa kila kitu? Huna akili wewe

kwa hiyo hao wenye uwezo na matajiri anaowajibika kwao na anaowagawia fedha zetu hovyo amewazaa? wewe ni 100% muslim wa tanzagiza soo out touch na uhalisia wa maisha ...
 
Watu wanatengeneza movi tu, yaani Samia akae Ikulu awaze kumnunulia mama Kanumba gari kati ya wanawake wote waliofiwa na watoto wao Tanzania, kwa lipi!? Siku hizi kuboost popularity ya mama mtu akiwa na katukio kake anachomekea Samia kafanya.
Samia mwenyewe kwa kutafuta cheap publicity huwa hajambo, mswahili haswa.
Huyu chawa aliye-post huu uzi huwa anatumwa, madogo wa UVCCM wanaoshinda Lumumba bila shughuli maalum za kufanya.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa Hakika Rais Samia Ni Mkono Wa Mungu Uliopo Hapa Duniani, Mungu Anatenda Miujiza Yake Kupitia Rais Samia ,Rais Samia Ni chaguo la Mungu kuwafikia Watu na waja Wake. Kama Unasikiaga Mungu anatenda Miujiza Kupitia Watu basi Mtu Mwenyewe ni Rais Samia Aliyeinuliwa na kupata kibali cha Mungu Mwenyewe.

Sijapata kuona wala kushuhudia Mama Na Kiongozi Mwenye Upendo kama Rais Samia. Haijapata kutokea ndugu zangu. Rais Samia ana moyo wa huruma na ukarimu haijapata kutokea . Rais Samia ni Mtume wa Mungu aliyetumwa na kuletwa hapa Duniani kupitia Mama yake mzazi kwa ajili ya kuleta tabasamu,furaha , matumaini na nuru kwa maisha ya watu.

Rais Wetu Mpendwa hii leo amefanya kitendo cha aina yake. Kitendo kilichogusa hisia za mamilioni kwa mamilioni ya watanzania,kitendo ambacho ni Thawabu mbele za Mwenyezi Mungu.

Ni baada ya Kumnunulia na kumkabidhi Gari Mpyaaa Mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba Nguli Na Mwamba kwelikweli wa Bongo Movie hapa nchini yaani waweza kusema Legend ama Shujaa na Alama ya Bongo Movie aliyeipatia Nchi yetu heshima kubwa sana katika tasnia hiyo.

Mama Kanumba ambaye alikuwa akihangaika kutembea umbali mrefu kwenda kanisani leo amekutana na Mkono Wa upendo wa Rais wetu kipenzi Mama Samia na kukabidhiwa Gari aina ya Harrier Kupitia kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Mheshimiwa Albert Chalamila.

Mama huyo amejikuta akilengwa lengwa na machozi ya furaha na kushindwa hata kuzungumza baada ya kuelemewa na furaha na kushindwa kuamini kwa kila kilichotokea kwa kuwa alikuwa hajatarajia kabisa.

Mama Kanumba ameishia kumimina shukurani kwa Rais wetu Mpendwa pamoja na kumuombea kila la heri na Maisha marefu Mama yetu Mpendwa.

Kwa hakika Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe. Huwezi kushindana na aliyebarikiwa na Mungu. Rais Samia ni chaguo la Mungu na Mtume wa Mungu. Ni mtumishi wa wanyonge na watu wote.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3555137View attachment 3555138
Screenshot_20251122-090658~2.png
 
Kiki ya kipuuzi zaidi kuwahi kutokea Tanganyika
 
Watu wanatengeneza movi tu, yaani Samia akae Ikulu awaze kumnunulia mama Kanumba gari kati ya wanawake wote waliofiwa na watoto wao Tanzania, kwa lipi!? Siku hizi kuboost popularity ya mama mtu akiwa na katukio kake anachomekea Samia kafanya.
Wivu tu ndio unaokusumbua
 
Back
Top Bottom