Mama Kijo Bisimba alaani kauli za Magufuli juu ya Mwanamke. Asema kauli zake hazimfai mtu aliyekalia kiti cha Ofisi ya Rais

Si ndo naangalia movie yenyewe. Have a tolerance mkuu that is the main and most improtant feature of multiparty system.
Wapi nimekosa tolerance?Unaanza kunisingizia mambo yasiyonihusu?
 
Natamani hizi kelele wangepiga pia kwa video za connections. Wanawake wengi wanadhalilishwa mitandaoni,uchi nje nje kijo kakaa kimya.
 
Kuniuliza nafanya nini hapa its a lack of tolerance. Ni kuishiwa hoja na kuanza kutoa povu
No!Wewe ulisema kuwa huwa huna haja na social media bali ni mpenzi wa movies ndiyo nikashangaa mbona uko hapa wakati hii nayo ni social media!Sasa hapo kukosa tolerance iko wapi?Siruhusiwi kushangaa pale ninapokutana na yanayoshangaza?au una maana yako ya "kukosa tolerance"?
 
Wapi nimesema sipendi social media?Pitia upya post zako uone.
Tatizo mkuu huwa 'unajifanya' unanifahamu sana wakati wala huna ulijualo. Umeandika na ukajijibu.
 
Wapi nimesema sipendi social media?Pitia upya post zako uone.
Tatizo mkuu huwa 'unajifanya' unanifahamu sana wakati wala huna ulijualo. Umeandika na ukajijibu.
Najifanya nakufahamu sana wewe apo?Nikufahamu sana ili uongeze nini katika maisha yangu?Mimi sikufahamu sana wala sihitaji kukufahamu sana kwa sababu kukufahamu sana haina tija katika maisha yangu.
 
Tatizo bangi ikizidi kichwani unakuwa mtu Wa kuropoka ropoka
 
That's good mkuu. Well have a nice holiday.
Najifanya nakufahamu sana wewe apo?Nikufahamu sana ili uongeze nini katika maisha yangu?Mimi sikufahamu sana wala sihitaji kukufahamu sana kwa sababu kukufahamu sana haina tija katika maisha yangu.
 
Mataga atabaki kuwa mataga tu
 
Aka msukuma
 
Huyu jamaa hajitambui kabisa,nadhani hata mataifa mengi yanatushangaa inakuaje tunakuwa na rais asiyejitambua namna hii.
 
Jamaa hili hutu linakauli chafu sana
 
Sio mizaha bali ndivyo alivyo. HANA HEKIMA na si mara ya kwanza kutoa kauli za hovyo, kuudhi, kuvunja moyo na kukanganya. Huwa hafanyi bahati mbaya na ndio maana hata zile kauli za kibaguzi kazirudia zaidi ya mara moja kipindi hiki cha kampeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…