Mama kutoka Ghana aliwahi kuniambia Wachaga na Wanyantuzu ndio wanajituma kama watu wa Afrika Magharibi, Wengine ni wapole sana

Mama kutoka Ghana aliwahi kuniambia Wachaga na Wanyantuzu ndio wanajituma kama watu wa Afrika Magharibi, Wengine ni wapole sana

Watu sio wajinga
Na wajinga sio watu.
Watu ambao uchawi kwao sifa
Utashangaa hilo?
Au Gambosi ipo Moshi?
Wilaya ya Itilima ndio wilaya inayoongoza kwa kuwa na waganga wengi kuliko wilaya yoyote Tanzania waliosajiliwa, Sasa jiulize wasiosajiliwa ni wangapi?
Mji wao mkuu Bariadi, kila mwaka Kuna mashindano ya kushindanisha uchawi(mbina), unataka kusema nini?
Mkoa waokuna mkuu wa waganga na mkuu wa wachawi na wote wanatambulika na mamlaka za mkoa.
Unataka kusema nini?
Ulishawahi kwenda kushindanisha?
 
Muongo sana wewe! Bariadi ina vijiji vyema maendeleo na maduka makubwa mengi sana!
Wao Wasukuma Wanyantuzu ukienda Mwanza,Kahama Katoro ndo wanamiliki maduka kwa vingi kuliko jamii zote za kanda ya ziwa!
 
Kuna hadi madogo wa Kinyantuzu wako katoro ila wanafunga hesabu hadi maduka yao yaliyoko kariakoo.
Wale jamaa hasa koo za watafuta mali ni hatari.
 
Huyu mama amekaa TZ kwa miaka kama 12. Anadai watu wote wa Afrika Magharibi hasa Nigeria na Ghana ni machachari ( agressive) sio wapole wapole kwenye mambo ya msingi ya maisha.

Nilimbishia ila kwa kauli ya Aliyekuwa Rais wetu JK kuwa watanzania wengine hatujitumi kama wachaga naona kama yule mama aliluwa na kitu
.

Nini mao i yako....
Unadhani tunafeli wapi?

No hayo tu
Tanzania-Chagga = Mbulumbu
 
Tutalaumu sana watanzania kutojituma.

Binafsi nimetembea mikoa yote ya Tanzania, nilichojifunza juu ya watu fulani eti wavivu watu fulani wachapa kazi NI UONGO MTUPU.

Tanzania kila mahala watu wanajituma sana ili kuishi maisha mazuri, kimsingi kila mtu hapendi dhiki na anahitaji kupata mkate WA kila siku.

TATIZO KUBWA LA TANZANIA NI MIFUMO NA UMASIKINI WA KURITHI WA JAMII NYINGI.

mfano mdogo ni Pwani ambako tunawaita wavivu, kiuhalisia sio wavivu Bali mfumo wa maisha waliorithi, mfumo wa nchi na umasikini wa vizazi vilivyotangulia.
Mfumo wa maisha ya watu wa Pwani NI ukarimu na kutojali Sana baadala yake wanafocus sana akhera na sio dunia.
Hali imewafanya kutojali kuuza ardhi, kutojali kupata kikubwa kwa njia ya dhuluma, kutofanya biashara ambazo dini inakataza.
Mfumo wa nchi pia umechangia miji mingi ya Pwani kudumaa maana hakuna setup ya viwanda wala shughuku kuu za uzarishaji mali kama migodi, nk.
Umasikini wakurithi, Familia ikiwa masikini kuna uwezekano mkubwa sana vizazi vinavyofuatia navyo kuwa masikini, watu wengi wa Pwani kutoka na utamaduni na historia vizazi huko nyuma vilikuwa masikini na havikuona sana umuhimu wa kuiishi dunia matokeo yake ni umasikini wakurithishana.
Umasikini wa fikra au kuchelewa kupata fikra kuliwafanya watu wa Pwani kutoona umuhimu wa Elimu dunia matokeo yake watu walijikita zaidi kwenye Elimu akhera bila kuzingatia Elimu dunia.

Wachaga sio wachapakazi maana hata miongoni mwao ziko familia masikini.
Wachaga kilichowabeba na kinachowabeba ni suala la kihistoria, uwepo wa wamissionary wengi ukanda wa Kilimanjaro kulipelekea wachaga wengi kwenda shule na kufanikiwa kuingia kwenye mifumo, uwepo kwenye mifumo kujisaidia kunyanyua Kaya zao na kufika hapo walipo, lingine Kwa wachaga ni ubinafsi na roho mbaya (hivi watu wa Pwani wakikosa wakagawa ardhi na kukalibisha wageni), ubinafsi wa kupeana deals na kazi wachaga wenyewe kwa wenyewe bila kuangalia watu wa makabila wengine kinawabeba sana.

Hapo mengi sana ya kuandika, tufungue bongo zetu, wavivu wapo kila jamii na wachapa kazi wapo kila jamii.
Leo tunasifiana na kukandiana huku Africa lakini Wazungu wanatusema WaAfrica wote na kutuita wavivu, JE TUKUBALI WAAFRICA WOOTE NI WAVIVU?
Umeongea mkuu.... Umasikini watu wanachukulia Kwenye contexto moja tu ya kufanya KAZI .... Umasikini moja ni Mfumo ( Turudi nyuma kwenye vicious circle of poverty... Mbili ni Matokeo ya mazingira na Historia ya mazingira au familia .... Tatu ndio yanakuja mambo kama bidii... Uchapakazi.... Uchangamkiaji WA fursa ... Ubunifu).
 
Kweli bidii ni jambo dogo sana. Ukiwa kwenye cobweb ya umasikini bidii itakuzeesha zaidi.
 
Back
Top Bottom