Mama kutoka Ghana aliwahi kuniambia Wachaga na Wanyantuzu ndio wanajituma kama watu wa Afrika Magharibi, Wengine ni wapole sana

Ulishawahi kwenda kushindanisha?
 
Muongo sana wewe! Bariadi ina vijiji vyema maendeleo na maduka makubwa mengi sana!
Wao Wasukuma Wanyantuzu ukienda Mwanza,Kahama Katoro ndo wanamiliki maduka kwa vingi kuliko jamii zote za kanda ya ziwa!
 
Kuna hadi madogo wa Kinyantuzu wako katoro ila wanafunga hesabu hadi maduka yao yaliyoko kariakoo.
Wale jamaa hasa koo za watafuta mali ni hatari.
 
Tanzania-Chagga = Mbulumbu
 
Umeongea mkuu.... Umasikini watu wanachukulia Kwenye contexto moja tu ya kufanya KAZI .... Umasikini moja ni Mfumo ( Turudi nyuma kwenye vicious circle of poverty... Mbili ni Matokeo ya mazingira na Historia ya mazingira au familia .... Tatu ndio yanakuja mambo kama bidii... Uchapakazi.... Uchangamkiaji WA fursa ... Ubunifu).
 
Kweli bidii ni jambo dogo sana. Ukiwa kwenye cobweb ya umasikini bidii itakuzeesha zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…