Uchaguzi 2020 Mama Maria Nyerere: Nimelazimishwa kuja kuongea, niliwaambia nimekuja kuongeza wingi wa watu, Mkutano wa CCM Musoma

Wako hivi
 
Huyo mama wa watu waache kumtumia kisiasa..... Ameshakuwa mzee natakiwa kupumzika na wajukuu zake akila pension yake ya uzeeni.

Mbona hawamchukui mama anna mkapa....
 
Ujumbe mzito sn... Ccm wameifanya familia ya Nyerere ni kichaka chao huku watoto wake wakiwasahau hata kwenye teuzi au kazi ndogo ndogo..... Watoto wa dada wanaula vizuri kabisa....
Ccm ina laana
Juzi hapa wamejaribu kuomba angalau wapewe ubunge pale Butiama kamati imewakata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…