Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hahaahahah et yeye ni mmoja wakundi lakuongeza idadi hahahaAmesema amekuja kuongeza vichwa, maaanake kumbe wanaccm wanalazimishwa kwenda kuongeza vichwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaahahah et yeye ni mmoja wakundi lakuongeza idadi hahahaAmesema amekuja kuongeza vichwa, maaanake kumbe wanaccm wanalazimishwa kwenda kuongeza vichwa.
Kwakweli ccm ni chama hatari sanakwa ustawi wa taifaMambo ya hovyo yanayoendelea labda mjinga tu ndie haoni tuna raisi wa ajabu
Pumbavu zako, kwann usifatilie ????Threads zisizo na ushahidi kama hizi ni za kufuta tu,Joyce joyce ni mkuda sana.
Wamejawa na roho za wivu, choyo, tamaa na ubaguzi.Katika Hali ya kawaida nilishangaa Sana CCM kutompa ugombea Madaraka!Ni kweli alipata kura chache Kama za Petrobas ea Shinyanga...lakini mhhhh!
Wako hiviCCM pumzi hamna... Huko Musoma leo ,maBus ya Zakaria, malori kibao kuanzia saa 10 za alfajir yalikua nakazi ya kusomba watu kuja kuongeza idadi na vichwa kama alivosema mama Maria.
Kwa ufupi..Mama maria hajapendezwa kuona Mwinyi na watoto wake wakiendelea kula bata... Alafu yeye na wanawe wakiendelea kusomeshwa namba.
Kama kuna familia ilotakiwa kutizamwa kwa jicho kubwa ni ya Familia ya Nyerere.
Mama mzazi mwema hawezi kusifia madege huku mnapoteza uhai wa watu.View attachment 1559409
Huyu mama hataki siasa zenu za kumlazimisha. Mwacheni apumzike!
Mama kawatoa NishaiSafi, huyu bibi hanaga unafiki, yeye na mume wake hayati baba wa taifa nyerere hawakuwa watu wa unafiki
Kimenuka huku ButyamaAisee!!!
Juzi hapa wamejaribu kuomba angalau wapewe ubunge pale Butiama kamati imewakata!Ujumbe mzito sn... Ccm wameifanya familia ya Nyerere ni kichaka chao huku watoto wake wakiwasahau hata kwenye teuzi au kazi ndogo ndogo..... Watoto wa dada wanaula vizuri kabisa....
Ccm ina laana
Katika Hali ya kawaida nilishangaa Sana CCM kutompa ugombea Madaraka!Ni kweli alipata kura chache Kama za Petrobas ea Shinyanga...lakini mhhhh!
Huyu jamaa ana kipaji kikubwa cha uongo aisee sijapata kuona, yani kageuza maneno kwa ustadi mkubwa sana.HUO NI UNAFIKIKAKOJOE ULALE
Cha wanyanganyiHii ccm ni chama cha kishetani