Uchaguzi 2020 Mama Maria Nyerere: Nimelazimishwa kuja kuongea, niliwaambia nimekuja kuongeza wingi wa watu, Mkutano wa CCM Musoma

ungekua unawajua vizuri usinge waita hoe hae kwa taarifa yako sio wenzio wale. Na kama serikali ingekua haiwatendei vema makongoro nyerere asingeongea maneno yale leo pale musoma. Mnapumulia mashine mmekosa kabisa point.
Mmekosa point nyie, mnaokokota wazee ili wazungumze, na amewaumbua kweupeee.
Hadi chakubanga kapanick [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ccm inakataliwa na kila mtu timamu, (Ondoa waliyotoka jalalani)
 
BAVICHA HIVI HUWA NI UJINGA AU KUTOKUELEWA .....KWA HIYO UNAVYODHANI MAMA KALAZIMISHWA KWENDA AU
 
Hahahaa
Aibu kwa CCM na Magufuli.
Mama Maria Nyerere kauza mechi leo.
WanaCCM wa mara wamechoka kukokotwa kama ng'ombe wa kulimishwa.
 
Mataga kule Twitter wamepanic sasa hivi wataanza kudai huyo Mama Maria Nyerere kwa sasa anatumiwa na CHADEMA.
 
Upinzani ulishakufa tangu 2015 kama CCM haiku shindwa 2015 itachukua miaka mingi ya wapinzani kuungana kuiangusha CCM.hakuna chama kimojakimoja cha siasa kitaweza kuiangusha CCM.
Jadili hoja
 
poa poa tumekusikia. Turudi kwenye mada husika.
 
At least wewe umeonyesha heshima kwa mama.
 
Fisadi Meko anataka kuabudiwa na kila mtu kwenye nchi hii,
 
Mama wa watu atakuwa ameambiwa kuwa Kigogo 2014 anamfumua vibaya Mama Samia huko Twitter ivyo akaona asiongee maneno mengi asije kuharibu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kigogo anasemaje huko twitter, wengine hatujui jinsi ya kutumia huo mtandao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…