Sasa polepole anamaindi nini?
Polepole yeye anaganga njaa tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa polepole anamaindi nini?
Mmekosa point nyie, mnaokokota wazee ili wazungumze, na amewaumbua kweupeee.ungekua unawajua vizuri usinge waita hoe hae kwa taarifa yako sio wenzio wale. Na kama serikali ingekua haiwatendei vema makongoro nyerere asingeongea maneno yale leo pale musoma. Mnapumulia mashine mmekosa kabisa point.
mnamquote vibaya bibi wa watuKwahiyo chadema ndio tuliokuwa tunamlazimisha huyo bibi aongee kwenyehuo mkutano wenu?
Ccm inakataliwa na kila mtu timamu, (Ondoa waliyotoka jalalani)Haipo katika maana hiyo mnayotaka ionekane kuwa ipo.
Ingekuwa kampeni za Chadema hapo angekuwa kweli kalazimishwa.
Nashangazwa sana namna msivyoelewa kauli za watu wazima kama hao mara nyingi zinakuwa namna ile.
Itakuwa huko kwenu hamna watu wazima ndio maana mnapata tabu kuwaelewa.
Mwacheni Bibi yetu msimuingize kwenye Mambo yenu.
BAVICHA HIVI HUWA NI UJINGA AU KUTOKUELEWA .....KWA HIYO UNAVYODHANI MAMA KALAZIMISHWA KWENDA AUView attachment 1559508
"Mimi kwa bahati nzuri pamoja na Wanamara wenzangu sisi ni kundi lile tulilokuja tuongeze idadi ya watu, vichwa viongozeke kwahiyo sikuja kuzungumza chochote wao walinilazimisha kwamba nizungumze nikasema sina lakuzungumza"- Mama Maria Nyerere
Baada ya ujumbe huu mgumu unaonyesha namna watu wanavyolazimishwa kufanya wasichopenda kufanya, naamini viongozi wamekereka kwa sababu polepole katamka maneno haya:
Mama tunajua una majukumu mengi, endapo ukijisikia kuondoka ondoka upo huru Mwenyekiti amekupa baraka zote.
Huyu mama nadhani ni mara ya kwanza anasimamishwa Kwenye jukwaa la kampeni. Tusiwafanyie hivi watu Hawa waliotumika kwa heshima, waacheni wabaki na heshima yao.
View attachment 1559499View attachment 1559500View attachment 1559501View attachment 1559502
Video inajieleza, aibu kwa chama kizeeAcha kumlisha maneno mama wa watu kwa kisebengo chako
Jadili hojaUpinzani ulishakufa tangu 2015 kama CCM haiku shindwa 2015 itachukua miaka mingi ya wapinzani kuungana kuiangusha CCM.hakuna chama kimojakimoja cha siasa kitaweza kuiangusha CCM.
Sio kila mtu ni ccm humu na dawa haiwezi mwingia mtu kwa uzushi huu mnaofanya makamanda....Tulieni dawa iingie [emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
poa poa tumekusikia. Turudi kwenye mada husika.Mbona makongoro kawachana sana chadema. Au amjamsikia? Na mama akasema yeye ana mengi makongoro amemaliza kila kitu. CHADEMA acheni Kumchonganisha mama wa watu na serikali. Pambaneni na hali zenu maana mna hali mbaya sana. Sema yule makongoro itakua anatumia kijiti.
At least wewe umeonyesha heshima kwa mama.Haya ndio matatizo ya hii mitandao vitoto vidogo navyo vina access ya Internet,
Watu wazima hata hatujapata tabu kumuelewa Mama Maria.
She is such a very humble person na sio mwanasiasa kama alivyokuwa mumewe ambaye ni baba wa Taifa.
Lugha za mtiririko wa kisiasa Hana mama yetu , tunampenda na tunashukuru kwa support yake.
Na yule Msiba sijui mazishi je?Uzuri wa musoma hawanaga shobo hawajui kujikomba ni mpuuz mmoja tu mlevi waitara ndo anajivunjia heshima
Fisadi Meko anataka kuabudiwa na kila mtu kwenye nchi hii,View attachment 1559508
"Mimi kwa bahati nzuri pamoja na Wanamara wenzangu sisi ni kundi lile tulilokuja tuongeze idadi ya watu, vichwa viongozeke kwahiyo sikuja kuzungumza chochote wao walinilazimisha kwamba nizungumze nikasema sina lakuzungumza"- Mama Maria Nyerere
Baada ya ujumbe huu mgumu unaonyesha namna watu wanavyolazimishwa kufanya wasichopenda kufanya, naamini viongozi wamekereka kwa sababu polepole katamka maneno haya:
Mama tunajua una majukumu mengi, endapo ukijisikia kuondoka ondoka upo huru Mwenyekiti amekupa baraka zote.
Huyu mama nadhani ni mara ya kwanza anasimamishwa Kwenye jukwaa la kampeni. Tusiwafanyie hivi watu Hawa waliotumika kwa heshima, waacheni wabaki na heshima yao.
View attachment 1559499View attachment 1559500View attachment 1559501View attachment 1559502
Masikini, hajui dhana ya kusifia. Anaongea ukweli wake!
mnamquote vibaya bibi wa watu
Kigogo anasemaje huko twitter, wengine hatujui jinsi ya kutumia huo mtandaoMama wa watu atakuwa ameambiwa kuwa Kigogo 2014 anamfumua vibaya Mama Samia huko Twitter ivyo akaona asiongee maneno mengi asije kuharibu 😂😂😂