Mama Mchungaji Pinela Justine awatoa udenda mafisi, noma saaanaa

Mama Mchungaji Pinela Justine awatoa udenda mafisi, noma saaanaa

Nilikuwa~ ga na mwanamke wangu mmoja enzi za ujana, alikuwa mlokole......jumamosi usiku wa kuamkia jumapili tunachapana miti ya kufa mtu halafu asubuhi namuwahisha kanisani. Jumapili moja nimempeleka kanisani , jioni aliporudi namuuliza habari ya ibada....ananiambia neno la Mungu hakulizingatia siku hiyo mhubiri alikuwa ni mama mchungaji tokea South Africa ana sura, ana shape na taQQo halafu hips na mabastola kaenda hewani kiasi kinachotakiwa na ana rangi (kwa maelezo yake alimtamani kingono) maana aliniambia aaah ningekuwa mwanaume nisingeacha kumtongoza yule mama mchungaji.

Akamalizia kwa maneno " wanaume mnafaiiiiidi"!!!!!.

Kumbe wamama huwa wanatamaniana aseeee!
 
Zipo hewani
Fisi akitoa udendašŸ‘‡
Screenshot_2026-10-22_105440.jpg
 
Back
Top Bottom