😂🤣Tupe picha mkuu
Muhuni huyo anakuaje mama mchungaji?
MwaipaHata mmtamani vipi hatoi mzigo, pia kuna muimbaji wa injili wa kike siku hizi naye ni mchungaji, huyo mama ni mzuri haswa, ana sura nzuri na shepu anayo. Ila alishamtema mume wake, sijui nani anakula ule mzigo kwa sasa maana umenona na wavutia mafisi
Mkuu sema huyu ni mchungaji, sasa masharti na vigezo kuzingatiwa🤣Tunaomba tafadhali kwa ajili yakusafisha macho.
Shusho.Mwaipa
Hujakatazwa kwenda kanisani beba sadaka kwishaaKama mambo kama haya yakienda hivi tutatembelea bar dah sorry kanisani!
Mkuu Alexido jz instagram njoo uopoe pisiHuyu ni mama MCHUNGAJI, na hutoa neno la mungu lakini Kuna mambo ambayo huwashangaza watu, muonekano wake na picha zake ikizingatiwa kajaaliwa shepu MAFISI hoiiii, na UDENDA kuwashuka tu
hahahahahahaMziki utakushinda kijana
SAdaka ya mama mchungaji.Hujakatazwa kwenda kanisani beba sadaka kwishaa
Hakuna Mama mchungaji ndugu yangu. Uko salama lakini?Kama umeongea wewe my brother from another mother hapo kweli hakuna mama mchungaji 😃