Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Tumeambiwa na vitabu vitakatifu:Huyu ni mama MCHUNGAJI, na hutoa neno la mungu lakini Kuna mambo ambayo huwashangaza watu, muonekano wake na picha zake ikizingatiwa kajaaliwa shepu MAFISI hoiiii, na UDENDA kuwashuka tu
Tujihadhari na mbwa mwitu na mafisi waliovaa ngozi ya kondoo. Hawana jingine ila kuua na kuharibu.