mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,879
- 45,894
😄😄Sijawahi kutamani kuwa mwanaume please!!
hekaheka zenu ngumu zinazidi wito wa upadre.
😄😄Sijawahi kutamani kuwa mwanaume please!!
hekaheka zenu ngumu zinazidi wito wa upadre.
Sasa si tutamuomba kitumbua, huoni kama nikututia dhambiAnaenda na wakati wa sasa kuonyesha mapaja manono hakuna shida hapo.
Si ndio😅Ukiona hivyo fisi ni yeye
Kwani kuomba ni dhambi mpaka akutie dhambini????? acha uongo dogo.Sasa si tutamuomba kitumbua, huoni kama nikututia dhambi
Ili vijana wajipigie mashine mfululizoNashauri huyu mama mchungaji achachuke zaidi
Unajisemesha ilihali umechukua sabuni kuelekea bafuniLabda ye ye na huyo shemeji yake wa hapo anapokaa ndio mafisi
Kama una TikTok anaitwa pastor mocky. kama sijakosea sina TikTok nowadays ngetumaTupe picha mkuu
Ni kujilipua tu kama Marekani na UrusiUnajisemesha ilihali umechukua sabuni kuelekea bafuni
Acha ushamba weweKabisa gani lina Mchungaji wa Ajabu hivi?
Usipo muwahi ata sagana. Huyo demu wakoNilikuwa~ ga na mwanamke wangu mmoja enzi za ujana, alikuwa mlokole......jumamosi usiku wa kuamkia jumapili tunachapana miti ya kufa mtu halafu asubuhi namuwahisha kanisani. Jumapili moja nimempeleka kanisani , jioni aliporudi namuuliza habari ya ibada....ananiambia neno la Mungu hakulizingatia siku hiyo mhubiri alikuwa ni mama mchungaji tokea South Africa ana sura, ana shape na taQQo halafu hips na mabastola kaenda hewani kiasi kinachotakiwa na ana rangi (kwa maelezo yake alimtamani kingono) maana aliniambia aaah ningekuwa mwanaume nisingeacha kumtongoza yule mama mchungaji.
Akamalizia kwa maneno " wanaume mnafaiiiiidi"!!!!!.
Kumbe wamama huwa wanatamaniana aseeee!
Ilikuwa zamani, Kila mmoja alishika njia yakeUsipo muwahi ata sagana. Huyo demu wako
Nilikuwa~ ga na mwanamke wangu mmoja enzi za ujana, alikuwa mlokole......jumamosi usiku wa kuamkia jumapili tunachapana miti ya kufa mtu halafu asubuhi namuwahisha kanisani. Jumapili moja nimempeleka kanisani , jioni aliporudi namuuliza habari ya ibada....ananiambia neno la Mungu hakulizingatia siku hiyo mhubiri alikuwa ni mama mchungaji tokea South Africa ana sura, ana shape na taQQo halafu hips na mabastola kaenda hewani kiasi kinachotakiwa na ana rangi (kwa maelezo yake alimtamani kingono) maana aliniambia aaah ningekuwa mwanaume nisingeacha kumtongoza yule mama mchungaji.
Akamalizia kwa maneno " wanaume mnafaiiiiidi"!!!!!.
Kumbe wamama huwa wanatamaniana aseeee!
Hahaa uliwaachia wahuni wajipigieIlikuwa zamani, Kila mmoja alishika njia yake
Nimekusoma tu nikajua tayari, ushatamani matako ya mchungaji huna adabu🤣Ni kujilipua tu kama Marekani na Urusi
Min mee huyu ni mchungaji tujizuie mkuu🤣Si ndio😅
anzaje udhani hapo unaomba na kupanuliwa mkuu? Hapo inahitaji akili kubwa, hili dude kwanza unaenda kulipigia Dubai huko ndanindani kwa wakina palm Jumeirah, five star hotelIli vijana wajipigie mashine mfululizo
Ni mbongo au msauziKama una TikTok anaitwa pastor mocky. kama sijakosea sina TikTok nowadays ngetuma
Mjini akili tu unapiga kibunda, NIMEJIULIZA gsm akiitaka hapo anashindwa nini, si mapema tu anaichapaMchungaji kamuweka makusud ili aongeze waumini wa kutoa sadaka
Hayo ni maamuzi yao na hakuna wa kupingaIli vijana wajipigie mashine mfululizo
Au AI ameshindwa/imegoma kuweka? Tuambie bhana tusipoteze muda kusubiri tuendelee na mambo mengine.Kaka zinakuja kaka