Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Tumeambiwa na vitabu vitakatifu:Huyu ni mama MCHUNGAJI, na hutoa neno la mungu lakini Kuna mambo ambayo huwashangaza watu, muonekano wake na picha zake ikizingatiwa kajaaliwa shepu MAFISI hoiiii, na UDENDA kuwashuka tu
Kwa mara ya kwanza umeandika ukweli.Wa kawaida saana
USSR
😂😂😂😂Picha za mafisi udenda ukishuka zipo wapi?
Kaka zimegomaAu AI ameshindwa/imegoma kuweka? Tuambie bhana tusipoteze muda kusubiri tuendelee na mambo mengine.
Safi sana naona umeelewa mana ya mafisi, safiiTumeambiwa na vitabu vitakatifu:
Tujihadhari na mbwa mwitu na mafisi waliovaa ngozi ya kondoo. Hawana jingine ila kuua na kuharibu.
Ok. Jaribu tena baadaye. (in Airtel's voice)Kaka zimegoma
Hii ni ya kuchekea kwa sauti kabisa😂😂😂Picha za mafisi udenda ukishuka zipo wapi?
Ahahahahahahahahahahah.Mziki utakushinda kijana
Postin na wenu tulinganishe🤣Kwa mara ya kwanza umeandika ukweli.
Achana nae huyo, udenda unamtoka na hajui atampata vipi huyu mtotoAhahahahahahahahahahah.
Daaahh!!! Hii comment imenichekesha sanaaaa mkuu. Yan nimecheka sana😂😂😂
Tuonyeshe wako tulinganisheMali mbovu sana mbona
Ubovu haupimwi na wanguTuonyeshe wako tulinganishe
Ye mwenyewe akiona hiki ulicho andika anaweza kukuacha kwa hasira sababu unamfanya ajisikie mnyonge kumpambanisha. Na pisi kaliUbovu haupimwi na wangu
Tulia mkuu tunaenda na wakati, nenda sali maliza Rudi nyumbani, unachunguza nini😡
Hawezi kujiposti.Picha za mafisi udenda ukishuka zipo wapi?
Kama umeongea wewe my brother from another mother hapo kweli hakuna mama mchungaji 😃Hakuna Mama Mchungaji Hapo
Tunaomba tafadhali kwa ajili yakusafisha macho.Mhhhhh Kuna picha paja hilo nono, balaa