Mama Mchungaji Pinela Justine awatoa udenda mafisi, noma saaanaa

Mwenye Kupenda Haoni
Chongo Atasema Kengeza
πŸŒΉπŸ’“β™₯️❀️πŸ₯°πŸ€©πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hata mmtamani vipi hatoi mzigo, pia kuna muimbaji wa injili wa kike siku hizi naye ni mchungaji, huyo mama ni mzuri haswa, ana sura nzuri na shepu anayo. Ila alishamtema mume wake, sijui nani anakula ule mzigo kwa sasa maana umenona na wavutia mafisi
 
Mama mchungaji anaye bwana wake, hatoi mzigo kwa mtu mwingine
 
Hata mmtamani vipi hatoi mzigo, pia kuna muimbaji wa injili wa kike siku hizi naye ni mchungaji, huyo mama ni mzuri haswa, ana sura nzuri na shepu anayo. Ila alishamtema mume wake, sijui nani anakula ule mzigo kwa sasa maana umenona na wavutia mafisi
Mwaipa
 
Kama mambo kama haya yakienda hivi tutatembelea bar dah sorry kanisani!
 
Kama umeongea wewe my brother from another mother hapo kweli hakuna mama mchungaji πŸ˜ƒ
Hakuna Mama mchungaji ndugu yangu. Uko salama lakini?

Japo leo dada amechomekea hapo kwamba imempasa mtumishi kwenda na wakati aqe kisasa zaidi ila neno linatuasa kuwa karibu zaidi na Mungu, tusiifuatishe namna ya dunia hii bali tufanywe upya ndani yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…