Mama mchungaji Qute Mena anena kuhusu kutofautiana na baba mchungaji

nabii mkuu ambariki
Kwa taarifa yako kila mwenye umaarufu akienda tu kwa nabii mkuu kwisha habari yake πŸ˜‚πŸ˜‚

Mc aliendaga kwa nabii mkuu kabla hajaanza huduma, sasa kikowapi!?

Msanii wa injili Goodluck Gozbet pia alivuma sana, ila alipokwenda kwa nabii mkuu na kupewa zawadi ya mchuma huyu kijana karudi mtaani kuvuta bangi.

Pale hemani kwa nabii mkuu sio pa kukimbilia kuomba msaada huyo jamaa huiba nyota za wenye njaa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…