Mama mchungaji Qute Mena anena kuhusu kutofautiana na baba mchungaji

Mama mchungaji Qute Mena anena kuhusu kutofautiana na baba mchungaji

Kwa taarifa yako kila mwenye umaarufu akienda tu kwa nabii mkuu kwisha habari yake 😂😂

Mc aliendaga kwa nabii mkuu kabla hajaanza huduma, sasa kikowapi!?

Msanii injili Goodluck Gozbet pia alivuma sana, ila alipokwenda kwa nabii mkuu na kupewa zawadi ya mchuma huyu kijana karudi mtaani kuvuta bangi.

Pale hemani kwa nabii mkuu sio pa kukimbilia kuomba msaada huyo jamaa huiba nyota za wenye njaa 😂😂
Umenena hata mashimo shusho kwisha habari zao.
 
Demu mwenyewe watu wa UDOM wamepiga ee mchungaji kaona kapata mke kuna demu amesoma na hyo mke wa MC anakwambia alikuwa balaa walikuwa na kundi lao maarufu pale chuo mwenge ilikuwa hauvuki kijiji ngoja nitulie nisije nikaharibu ndoa.
 
Kwa wasiomfahamu huyu ndiye mama mchungaji mke wa mchungaji Mc pilipili. Mtumishi amefunguka na kusema jambo kuhusu bifu lake na baba mchungaji.

Amesema......

"Kupishana katika ndoa ni kitu cha kawaida sana, sema kuna wale ma stars wakipishana kila mtu atajua lakini kwetu watu wa rohoni huwa tunayamaliza kimya.... kimya hata mshenga hahusishwi".

Bifu lao wameshalimaliza na maisha yanasonga.

Kuhusu kanisa kumshinda baba mchungaji, mama amekazia....

"Kile alichosema baba mchungaji ndicho hicho hicho nasema na mie kwamba hatukutaniki tena kila jumapili bali huduma yetu kwa sasa ni kuhudumia watu wa mtandaoni pekee.

Mama mchungaji katika ubora wake.

View attachment 2883277View attachment 2883279View attachment 2883282
Ameliwa huyu na mwenye hill water
 
Si tumeambiwa mke ana mchepuko wake mwenye maela na mume amezaa na mwanamke mwingine nje?
Au tusubiri uhakika kutoka kwa dada wa taifa?
Mwenye maela yupii? Sasa VO ana pesa zipi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wawaache wenye hela bhana, huyo MC nae kiwembe tyuuh.

Kanisa haliendi bila sadaka, km hawakujijenga hapo mwanzo polee yao
 
Demu mwenyewe watu wa UDOM wamepiga ee mchungaji kaona kapata mke kuna demu amesoma na hyo mke wa MC anakwambia alikuwa balaa walikuwa na kundi lao maarufu pale chuo mwenge ilikuwa hauvuki kijiji ngoja nitulie nisije nikaharibu ndoa.
Duh!
 
Back
Top Bottom