Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
😂 sasa naachaje kusifia uumbaji wa Mungu?Ukiachilia ukatibu sidhani kama wafaa kuwa hata mlinzi wa kanisani, hufai kabisa 😂
Kama kusema ukweli ni dhambi basi acha niipate hiyo dhambi.
Mama mchungaji ni pisi waendeleze huduma sitakosa ibada