Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
du sababu ni umaskini tu lakini maza hatendewi haki mbona dogo alikaa tumboni miezi tisa maza hakulalamika miezi miwili tu umeanza kulialia hadi humu,kua mvumilivu this is african familyKitu cha self containal!! Mjini pazuri bwana asikwambie "ntu"
Unafikiri kila mtu ana ufahamu na utashi wa kusoma mazingira?
a.rahabu Kuanzia huyo mwanaume na mama yake wamekosa huo utashi. Mwanaume ndio alipaswa kuliona hilo mapema hata kabla hajaja na awe amepanga ramani nzima.
We unafikiri na huyo Mume huko aliko hawajamchoka? Ukweli nae wamemchoka. Mume anapaswa atumie hekima kidogo tu. Aende akanunue vizawadi vya pasaka haswa vyakula (Mafuta, mchele etc) na hela kidogo ampelekee mama yake amwambie akale na familia kusheherekea pasaka nyumbani. mchezo umeisha. Ila kwa wabongo tulivyowanafiki, mdada akijidai kwenda kumwambia Mumewe ajue imekula kwake maana inaonekana na mumewe hajitambui vizuri kupembua mchele na mpunga.
Kwa tamaduni za kikwetu nyumbani Mkwe au hata mama ajue una kachumba kamoja, Hata Umhonge na hela Juu hatakaa afikie kwako kamwe.
mama mkwe atakuwa katokea kijijini mbali mutukura huko sasa hawezi kukaa siku chache tu, lazima anainishe ngozi kwanza mujini akirudi kwake ni time ya kuvuna miezi ya June huko...
du sababu ni umaskini tu lakini maza hatendewi haki mbona dogo alikaa tumboni miezi tisa maza hakulalamika miezi miwili tu umeanza kulialia hadi humu,kua mvumilivu this is african family
Huwez jua wamejipanga vp kiuchumi na wakipanga vitatu sindo ndugu watakuja kuhamia kabisa
na Katavi. Miez kama sita walikuwepo mashemej 2 walikua wanakula pale na kushinda jion wanaenda kulala kwa marafiki walikaa karibu miez3
Dah mpe pole sana ni mambo yanayotekea tu kene maisha, hapa maskani kwetu pia bimdada yalimkuta mkwe kaja mshikaji analala kwa washikaji zake, sema mama alikuwa analiwaza sana hilo ingawa kwa upande wa mwanae kuwa anakosa haki yake ya ndoa, pamoja kuwa alikuja kutibiwa akawa anaandaaa vijisafari vya kutembelea ndugu wengine, ila hapo mdogo wako avumilie tu tusubiri pasaka ipite kama hatoondoka baada ya pasaka, hatua zaidi zifuatwe pamoja na bidada amweleze mkwe ni kwa jinsi gani amem-miss mme wake.Wana sisi wazima huku najua hakuna fujo sana.
Na kuna watu makini wa kunisaidia.
Wapenzi nnamdogo angu ana kama 26 kaolewa na mtu wa Dodoma. Naishi nae karibu kama nyumba 5 kutoka kwangu amepanga chumba1 self containal.
Sasa kama mwezi mkwewe alikuja kumsalimu.
Na alsema anakaa siku3 jamani had leo mumewake analala kwa marafiki zake juzi nasikia anaongea na ndugu zake kuwa atarudi hadi pasaka iishe jamani mwezi na siku kadhaa na analala kitandani bila aibu.
Anaogopa kumwambia mumewe atahisi anamchukia mama yake na hivyo anataka jumamosi kuondoka kwenda kwao morogoro ila mkwe haoneshi hata. Kuondoka kasema kama haukaisana utanikuta.
Hebu mshaurin mdogo angu jamani.
Wana sisi wazima huku najua hakuna fujo sana.

Duh hizo ndo changamoto za ndoa..avumilie tu kaja kwa mwanae kula bata loh si mnajua wamama wakwe wengine?! ! Lakinii......inamana huyo mdogo wako na mumewe hawawezi kutoka hata siku moja kwenda mahali pa faragha wakamalize shida zao huko then wakarudi maisha yakaendelea?? Aaah jamani mbona simple hivyo embu mwambie afanye hivyo kwanza ....
Kina mama mkwe mara nyingi wanakuwa hawakubaliki, mara nyingi wanatafutiwa hadi visingizio vya uongo.
Nilichogundua mke akileta wazazi wake hata wakae mwaka mzima sio tatizo lakini mume akitembelewa na mama yake wiki moja tu nongwa zinaanza, vijisababu vingine vya kutunga ataambiwa baba mwenye nyumba ili mradi mama wa watu aondoke. Na kama unavyojua tena katika ndoa nyingi(ingawa sio zote) mwanamke ana nguvu, mama wa watu lazima ataondoka
Mwache mkwe atakate kwanza asugue gaga pasaka si mbali ni jumapili tu....
hahaha
Kina mama mkwe mara nyingi wanakuwa hawakubaliki, mara nyingi wanatafutiwa hadi visingizio vya uongo.
Nilichogundua mke akileta wazazi wake hata wakae mwaka mzima sio tatizo lakini mume akitembelewa na mama yake wiki moja tu nongwa zinaanza, vijisababu vingine vya kutunga ataambiwa baba mwenye nyumba ili mradi mama wa watu aondoke. Na kama unavyojua tena katika ndoa nyingi(ingawa sio zote) mwanamke ana nguvu, mama wa watu lazima ataondoka
Nimekuelewa mamito.acha kuongelea ushabiki, fikiria chumba kimoja na mtu kaja kwa kusalimia na si matatizo.
Sie kwa mila zetu hairuhusiwi kabisa mzazi kuona kitanda cha mwanae sembuse kulalia? Tena bila sababu ya msingi. Huyo mama anatafuta la kulitafuta.
Huyo mdogo wako avumilie tu na akimuhitaji mumewe waende hata lodge kukidhi haja zao
Uko sawa kabisa, asante. Ila kusema ukweli na si kwa ushabiki wala kwa nia mbaya kina mama mkwe kwa asilimia kubwa wanaonewa sana katika maisha yetu ya kila siku.vitu vingine msipende kuvipalia, hata kama mke anapenda mamaake amtembelee sidhani kama itakua kwenye chumba kimoja, c kila anachoshauri mke juu ya mamaako kionekane kibaya, vingine mviangalie jicho la tatu,
Unles mama awe mgonjwa kaJa kwa tiba na wala si kwa uzima kama ivyo, AWAPISHE
Jamani hata kama
Ss km hapa unaona kabisa hali halisi ni chumba kimoja utasema mtu ana roho mbaya?