Mama mkwe ana mwezi hana dalili ya kuondoka, chumba kimoja, nimemmisi mume wangu

Mama mkwe ana mwezi hana dalili ya kuondoka, chumba kimoja, nimemmisi mume wangu

Mwache mkwe atakate kwanza asugue gaga pasaka si mbali ni jumapili tu....
Maana kama mwanaume karidhika na hasemi chochote basi haina budi kwenda naye sawa....
Ukipata mihemko nendeni lodge mkamalize shida zenu....
Mwambie amkomalie mmewe kuwa kabanwa na hali anashindwa kuvumilia hapo mwanaume akili kumkichwa tu atajua cha kufanya apunguze minyenye....

Ila duuuuh mwezi mzima mwanaume kwa marafiki huku ana mke....atafakari mara mbili mjini hapa
 
Unafikiri kila mtu ana ufahamu na utashi wa kusoma mazingira?
a.rahabu Kuanzia huyo mwanaume na mama yake wamekosa huo utashi. Mwanaume ndio alipaswa kuliona hilo mapema hata kabla hajaja na awe amepanga ramani nzima.

We unafikiri na huyo Mume huko aliko hawajamchoka? Ukweli nae wamemchoka. Mume anapaswa atumie hekima kidogo tu. Aende akanunue vizawadi vya pasaka haswa vyakula (Mafuta, mchele etc) na hela kidogo ampelekee mama yake amwambie akale na familia kusheherekea pasaka nyumbani. mchezo umeisha. Ila kwa wabongo tulivyowanafiki, mdada akijidai kwenda kumwambia Mumewe ajue imekula kwake maana inaonekana na mumewe hajitambui vizuri kupembua mchele na mpunga.

Kwa tamaduni za kikwetu nyumbani Mkwe au hata mama ajue una kachumba kamoja, Hata Umhonge na hela Juu hatakaa afikie kwako kamwe.

Huo ni ukweli usioepukika! Au angalau wangepanga nyumba ya vyumba 2 basi. Bongo huwezi kuepuka wageni au kutembelewa ndg.
 
Last edited by a moderator:
mama mkwe atakuwa katokea kijijini mbali mutukura huko sasa hawezi kukaa siku chache tu, lazima anainishe ngozi kwanza mujini akirudi kwake ni time ya kuvuna miezi ya June huko...

Mama wakwe wa dizaini hii ni watata sana! Ukitaka arudi kijijini ni mpaka umfanyie shopping ya maana vitenge box zima na mazagazaga kibao bila kusahau nauli iliyoshiba. Sasa mwanae kapuku hata uwezo wa kupanga nyumba ya vyumba 2 hana! Majanga live!
 
du sababu ni umaskini tu lakini maza hatendewi haki mbona dogo alikaa tumboni miezi tisa maza hakulalamika miezi miwili tu umeanza kulialia hadi humu,kua mvumilivu this is african family

Hahaaaa..., hiyo isiwe sababu!
 
mambo ya kupanga ndugu karibu ndo haya...
yakumalizika ndani yanatolewa adi nje
naelewa ulikuja kuomba ushaurii,, na mimi nilikua nasema tu
 
Huwez jua wamejipanga vp kiuchumi na wakipanga vitatu sindo ndugu watakuja kuhamia kabisa
na Katavi. Miez kama sita walikuwepo mashemej 2 walikua wanakula pale na kushinda jion wanaenda kulala kwa marafiki walikaa karibu miez3

Hiyo familia basi ni balaa, haifai.
 
Wana sisi wazima huku najua hakuna fujo sana.

Na kuna watu makini wa kunisaidia.

Wapenzi nnamdogo angu ana kama 26 kaolewa na mtu wa Dodoma. Naishi nae karibu kama nyumba 5 kutoka kwangu amepanga chumba1 self containal.

Sasa kama mwezi mkwewe alikuja kumsalimu.

Na alsema anakaa siku3 jamani had leo mumewake analala kwa marafiki zake juzi nasikia anaongea na ndugu zake kuwa atarudi hadi pasaka iishe jamani mwezi na siku kadhaa na analala kitandani bila aibu.

Anaogopa kumwambia mumewe atahisi anamchukia mama yake na hivyo anataka jumamosi kuondoka kwenda kwao morogoro ila mkwe haoneshi hata. Kuondoka kasema kama haukaisana utanikuta.
Hebu mshaurin mdogo angu jamani.
Dah mpe pole sana ni mambo yanayotekea tu kene maisha, hapa maskani kwetu pia bimdada yalimkuta mkwe kaja mshikaji analala kwa washikaji zake, sema mama alikuwa analiwaza sana hilo ingawa kwa upande wa mwanae kuwa anakosa haki yake ya ndoa, pamoja kuwa alikuja kutibiwa akawa anaandaaa vijisafari vya kutembelea ndugu wengine, ila hapo mdogo wako avumilie tu tusubiri pasaka ipite kama hatoondoka baada ya pasaka, hatua zaidi zifuatwe pamoja na bidada amweleze mkwe ni kwa jinsi gani amem-miss mme wake.
 
Wana sisi wazima huku najua hakuna fujo sana.

Na kuna watu makini wa kunisaidia.

Wapenzi nnamdogo angu ana kama 26 kaolewa na mtu wa Dodoma. Naishi nae karibu kama nyumba 5 kutoka kwangu amepanga chumba1 self containal.

Sasa kama mwezi mkwewe alikuja kumsalimu.

Na alsema anakaa siku3 jamani had leo mumewake analala kwa marafiki zake juzi nasikia anaongea na ndugu zake kuwa atarudi hadi pasaka iishe jamani mwezi na siku kadhaa na analala kitandani bila aibu.

Anaogopa kumwambia mumewe atahisi anamchukia mama yake na hivyo anataka jumamosi kuondoka kwenda kwao morogoro ila mkwe haoneshi hata. Kuondoka kasema kama haukaisana utanikuta.
Hebu mshaurin mdogo angu jamani.

Wewe na mme wako acheni unafiki, kukaa mna vitu rohoni kwa mgni halafu hamtaki kuviweka wazi kwake. N bora mkatafuta namna nzuri ya kumweleza na kumuelewesha kwa ufasaha atawaelewa. Kukaa kimya huku mkiwa mmebeba mzigo vifuani mwenu ni mbaya zaidi kuliko mnavyodhani kuwa mkimweleza ukweli eti ndiyo itakuwa vibaya. Situations za namna hii mara nyingi ndiyo huwa zinapelekea baadaye walio wenyeji wa mgeni kufanya makosa ya ajabu ambayo yanawafanya baadaye kuja kujilaumu. Baadaye itabidi labda hata muanze kumsimanga chakula au kumfanyia anything related to that, ambayo ndiyo mbaya zaidi kuliko kile ambacho mnaogopa kufanya sasa hivi. Hivi kwa nini sisi binadamu tunashindwa kabisa kuwa wkweli, wawazi? Kwa keli hamjanifurahisha kabisa, tabia zenu siyo nzuri kabisa!
 
Duh hizo ndo changamoto za ndoa..avumilie tu kaja kwa mwanae kula bata loh si mnajua wamama wakwe wengine?! ! Lakinii......inamana huyo mdogo wako na mumewe hawawezi kutoka hata siku moja kwenda mahali pa faragha wakamalize shida zao huko then wakarudi maisha yakaendelea?? Aaah jamani mbona simple hivyo embu mwambie afanye hivyo kwanza ....

hiyo itakua gharama, we fikiria wataenda mara ngapi na mama hana dalili ya kuondoka , c bora kuongeza chumba
 
nilikumisije natalia?
yaani nilipoona mwandiko tu nikajua lazima utakuwa ni wewe.....

kucheki jina nikakuta haswaaaa Natalia......

karibu tena usiadimike hivyo!!

Aliamua mwenyewe kuolewa na mtu maskini.Wanaume maskini ni wanaume wavivu tell her to run she will die poor
 
Kina mama mkwe mara nyingi wanakuwa hawakubaliki, mara nyingi wanatafutiwa hadi visingizio vya uongo.

Nilichogundua mke akileta wazazi wake hata wakae mwaka mzima sio tatizo lakini mume akitembelewa na mama yake wiki moja tu nongwa zinaanza, vijisababu vingine vya kutunga ataambiwa baba mwenye nyumba ili mradi mama wa watu aondoke. Na kama unavyojua tena katika ndoa nyingi(ingawa sio zote) mwanamke ana nguvu, mama wa watu lazima ataondoka

vitu vingine msipende kuvipalia, hata kama mke anapenda mamaake amtembelee sidhani kama itakua kwenye chumba kimoja, c kila anachoshauri mke juu ya mamaako kionekane kibaya, vingine mviangalie jicho la tatu,
Unles mama awe mgonjwa kaJa kwa tiba na wala si kwa uzima kama ivyo, AWAPISHE
 
Jamani hata kama
Ss km hapa unaona kabisa hali halisi ni chumba kimoja utasema mtu ana roho mbaya?
 
acha kuongelea ushabiki, fikiria chumba kimoja na mtu kaja kwa kusalimia na si matatizo.
Sie kwa mila zetu hairuhusiwi kabisa mzazi kuona kitanda cha mwanae sembuse kulalia? Tena bila sababu ya msingi. Huyo mama anatafuta la kulitafuta.
Huyo mdogo wako avumilie tu na akimuhitaji mumewe waende hata lodge kukidhi haja zao
Nimekuelewa mamito.

Ila kama unavyojua hali ya maisha tena, hiyo pesa ya lodge si bora mimi na mamsapu tulale chini au kama mama wa kuelewa au kama ulivyosema mila yako hairuhusu mama mkwe kukiona kitanda chako basi bora mumtandikie kigodoro ajipumzishe chini.

Kwa upande wangu hiyo kesi ndogo sana nitakachofanya - Mimi na mamsapu tunatandika kigodoro chini au mkeka, badala ya kupoteza pesa, bora tuiokoe tuendelee kubadilisha dagaa kauzu hadi siku ambayo mama ataondoka au kurudi nyumbani kwake.

Muhimu heshima kwa mama iwepo hakuna mambo ya kula cha usiku hadi siku mama anarudi kwake.

vitu vingine msipende kuvipalia, hata kama mke anapenda mamaake amtembelee sidhani kama itakua kwenye chumba kimoja, c kila anachoshauri mke juu ya mamaako kionekane kibaya, vingine mviangalie jicho la tatu,
Unles mama awe mgonjwa kaJa kwa tiba na wala si kwa uzima kama ivyo, AWAPISHE
Uko sawa kabisa, asante. Ila kusema ukweli na si kwa ushabiki wala kwa nia mbaya kina mama mkwe kwa asilimia kubwa wanaonewa sana katika maisha yetu ya kila siku.

Jamani hata kama
Ss km hapa unaona kabisa hali halisi ni chumba kimoja utasema mtu ana roho mbaya?

Nimewaelewa sana, ila nafikiri mlichoshindwa kunielewa mimi ni kwamba - nimetumia nafasi hii hii ya mleta mada kuelezea hali halisi ya kina mama mkwe jinsi wasivyokuwa na thamani kwa watoto wao wa kiume ilihali upande wa pili wanathaminika, ingawa sijamaanisha wote, ila ninachoweza kusema kwa asilimia kubwa.

Mbali ya hayo tupamoja, asanteni sana wakuu
 
Wana sisi wazima huku najua hakuna fujo sana.

Na kuna watu makini wa kunisaidia.

Wapenzi nnamdogo angu ana kama 26 kaolewa na mtu wa Dodoma. Naishi nae karibu kama nyumba 5 kutoka kwangu amepanga chumba1 self containal.

Sasa kama mwezi mkwewe alikuja kumsalimu.

Na alsema anakaa siku3 jamani had leo mumewake analala kwa marafiki zake juzi nasikia anaongea na ndugu zake kuwa atarudi hadi pasaka iishe jamani mwezi na siku kadhaa na analala kitandani bila aibu.

Anaogopa kumwambia mumewe atahisi anamchukia mama yake na hivyo anataka jumamosi kuondoka kwenda kwao morogoro ila mkwe haoneshi hata. Kuondoka kasema kama haukaisana utanikuta.
Hebu mshaurin mdogo angu jamani.

Weka Picha
 
Back
Top Bottom