Mama Mkwe ana tabia ya kutusikiliza wakati tukifanya majambozi

Mama Mkwe ana tabia ya kutusikiliza wakati tukifanya majambozi

Monseur

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2016
Posts
655
Reaction score
525
Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa kuwa na baridi kiasi kipindi hiki ambapo pia nipo likizo, najikuta muda mwingi nikiwa chumbani, tena kitandani na wife tukishiriki tendo takatifu la ndoa.

Mke wangu ni miongoni mwa wale wanawake ambao wakifikishwa kileleni Hutoa sauti za mahaba na vilio tofauti tofauti vya kunogeza game!

Hivi karibuni baada ya kumaliza show yetu salama. Wife alihisi kitu kwa nje ya mlango kupitia uwazi unaotenganisha mlango na sakafu hivyo akaamua kwenda kufungua mlango, na akapigwa na butwaa baada ya kukutana uso kwa uso na macho ya mama yake mzazi ambaye kwa wakati huo alikuwa ameduwaa mithili ya mtu aliyefumaniwa: Alipoulizwa hakuwa na majibu ya kuridhisha.

Sipati majibu nia yake ni nini hasa, na anapata faida gani baada ya kufuatilia game zetu na mwisho wake ni nini! Hatamuonea wivu mwanaye! Maana bado yupo kwetu na hatujui lini ataondoka.

Wataalam naomba mnisaidie.
 
Kuna mawili.

Kwanza: Mama mkwe wako ni kijana na amelelewa kwenye mazingira ya kighetto ghetto, (uswazi) hivyo kukosa maadili ya asili ya kiafrika.

Pili: Mama mkwe wako anatamani kuingilia anga la binti yake.

Ushauri:
Kama uwezo unaruhusu, mfungulie biashara ndogo yoyote hapo nje hata kama ni ya kuuza nyanya ili apate cha kufanya kama hana mpango wa kuondoka soon.

Hayo ni mawazo yangu tu, unaweza kujiongeza mwenyewe ila tumia busara.
 
Peep4.jpg

...
 
Back
Top Bottom