Mama Mkwe ana tabia ya kutusikiliza wakati tukifanya majambozi

Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa kuwa na baridi kiasi kipindi hiki ambapo pia nipo likizo, najikuta muda mwingi nikiwa chumbani, tena kitandani na wife tukishiriki tendo takatifu la ndoa.

Mke wangu ni miongoni mwa wale wanawake ambao wakifikishwa kileleni Hutoa sauti za mahaba na vilio tofauti tofauti vya kunogeza game!

Hivi karibuni baada ya kumaliza show yetu salama. Wife alihisi kitu kwa nje ya mlango kupitia uwazi unaotenganisha mlango na sakafu hivyo akaamua kwenda kufungua mlango, na akapigwa na butwaa baada ya kukutana uso kwa uso na macho ya mama yake mzazi ambaye kwa wakati huo aalikuwa ameduwaa mithili ya mtu aliyefumaniwa: Alipoulizwa hakuwa na majibu ya kuridhisha.

Sipati majibu nia yake ni nini hasa, na anapata faida gani baada ya kufuatilia game zetu na mwisho wake ni nini! Hatamuonea wivu mwanaye! Maana bado yupo kwetu na hatujui lini ataondoka.

Wataalam naomba mnisaidie.
Sasa nyie hamjui kufanya kimya kimya wakwe/wageni wakiwepo 😱?Au ndoa changa?
Kwa watu walobobea kwenye ndoa wanajua kulihandle hilo tatizo ukiwa na watoto wa umri fulani/wageni inabidi upunguze mihemko unajiachia mkiwa wenyewe au mnaenda sehem maalum mfano romantic weekend....

Jingine inawezekana unamfikisha sana mkeo mpaka mama mkwe akapatwa na mshawasha!
Kama hali ishakuwa hivo uwe makini isijekuwa na yeye keshaanza kujenga matamanio!

NB:Kuna swali nmejiuliza pia mama mkwe wako ana umri gani na je ameolewa?
 
Kuna mawili.

Kwanza: Mama mkwe wako ni kijana na amelelewa kwenye mazingira ya kighetto ghetto, (uswazi) hivyo kukosa maadili ya asili ya kiafrika.

Pili: Mama mkwe wako anatamani kuingilia anga la binti yake.

Ushauri:
Kama uwezo unaruhusu, mfungulie biashara ndogo yoyote hapo nje hata kama ni ya kuuza nyanya ili apate cha kufanya kama hana mpango wa kuondoka soon.

Hayo ni mawazo yangu tu, unaweza kujiongeza mwenyewe ila tumia busara.
Kwani mleta Uzi ye anagonga zigo mchana mchanamchana na mama mkwe yuko sebuleni?.huyu jamaa atakuwa anapenda sana mambo ya show off.
 
Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa kuwa na baridi kiasi kipindi hiki ambapo pia nipo likizo, najikuta muda mwingi nikiwa chumbani, tena kitandani na wife tukishiriki tendo takatifu la ndoa.

Mke wangu ni miongoni mwa wale wanawake ambao wakifikishwa kileleni Hutoa sauti za mahaba na vilio tofauti tofauti vya kunogeza game!

Hivi karibuni baada ya kumaliza show yetu salama. Wife alihisi kitu kwa nje ya mlango kupitia uwazi unaotenganisha mlango na sakafu hivyo akaamua kwenda kufungua mlango, na akapigwa na butwaa baada ya kukutana uso kwa uso na macho ya mama yake mzazi ambaye kwa wakati huo aalikuwa ameduwaa mithili ya mtu aliyefumaniwa: Alipoulizwa hakuwa na majibu ya kuridhisha.

Sipati majibu nia yake ni nini hasa, na anapata faida gani baada ya kufuatilia game zetu na mwisho wake ni nini! Hatamuonea wivu mwanaye! Maana bado yupo kwetu na hatujui lini ataondoka.

Wataalam naomba mnisaidie.
Tatizo ni nyie wenyewe, Kwanini mnapenda kujaza watu nyumbani kwenu? na Nyumba zenu za uswahilini zina matundu nao ni binadamu wana hisia, usiruhusu ndugu,marafiki au wafanyaka kuja kwako kama huna nafasi au uwezo wa kuwahudumia, Hakikisha unafanya tasmini ya Mazingira yako kukaribisha watu nyumbani kwako.
 
Duh,hampewi limit ila duh,any way si wa zamani kidogo tulifundishwa malezi ya kifala sana.
Achana na ndoa changa wewe, kuna jamaa ilibidi awe anampigia simu mkewe kama anakwenda na mgeni otherwise anamkuta bibie na khanga moja nyepesi sana.
 
Sasa nyie hamjui kufanya kimya kimya wakwe/wageni wakiwepo [emoji33]?Au ndoa changa?
Kwa watu walobobea kwenye ndoa wanajua kulihandle hilo tatizo ukiwa na watoto wa umri fulani/wageni inabidi upunguze mihemko unajiachia mkiwa wenyewe au mnaenda sehem maalum mfano romantic weekend....

Jingine inawezekana unamfikisha sana mkeo mpaka mama mkwe akapatwa na mshawasha!
Kama hali ishakuwa hivo uwe makini isijekuwa na yeye keshaanza kujenga matamanio!

NB:Kuna swali nmejiuliza pia mama mkwe wako ana umri gani na je ameolewa?

50+ walishatalikiana na mumewe miaka mingi iliyopita
 
Back
Top Bottom