Mama Mkwe ana tabia ya kutusikiliza wakati tukifanya majambozi

Mama Mkwe ana tabia ya kutusikiliza wakati tukifanya majambozi

Sawa lakini Naogopa kupata laani
Na utaipata ya nguvu, maisha yako yote utakaa ujutie hilo tendo. Usijaribu hata kidogo. Na wala usisikilize wale wanaokushauri kufanya jambo la kiibilisi kama hilo.

Naona ni vyema ukamtengea sehemu huyo mama mkwe, hata kama kwa kufanya partition na umuwekee hata ka Tv cha kumshughulisha.

Jengine mtafutie mzee mwenzake ampe kampani itampunguzia mawazo.
 
Tuwe realistic; binti yake wakati anapiga kelele wala hakua anajitambua, mwanamke akiwa kwenye climax hawezi kua na hisia kama anachunguliwa, mwanaume hali kadhalika hasa wakati wazungu/watoto wanatoka, unaweza kumuahidi mtu kumpa dunia nzima wakati uwezo huo huna, binti ni kwamba kahisi anachunguliwa wakati show imesiaha or wakati wa mapumziko so kipindi hicho mama alitakiwa kua kaondoka cause alikua kahakikisha kwamba mkwe wake ni RIJALI hasa maanake anajua kumliza binti yake. Mama ana kitu anakitaka but again naogopa sana kutoa ushauri wangu ambao nahisi utakua wa KIJINGA
Mkuu sema hicho kitu ambacho unadhani Mama anakita, ili jamaa aweze kumpatia....usojali hats kama unahisi ni cha kijinga. Nina wasiwasi labda Mama aliona pia michirizi ya majimaji yakitoka chini ya mlango ....ndio ilichangia pia kumfanya achungulie. Tusimlaumu sana Mama inaonekana sio kosa lake, kosa ni la watoto.
 
Back
Top Bottom