Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,994
- 4,729
We nae na mkeo hamjitambui na pia hamjiheshimu mna watu nyumbani afu mnajiachia kama mko peke yenu,kwani kwa kipindi hiki ambapo kuna mgeni mkifanya kwa ustaarabu radha inapotea?
Kitu kingine kinachonichekesha mama mkwe kama amekuja kutembea wiki moja inatosha huo mda wote anatafta nini ??ni mgonjwaamekuja kutibiwa?simama kwenye nafasi yako kuepusha vitu vya kijinga kijinga kama hivi