Mama Mkwe ana tabia ya kutusikiliza wakati tukifanya majambozi

Sawa lakini Naogopa kupata laani
Na utaipata ya nguvu, maisha yako yote utakaa ujutie hilo tendo. Usijaribu hata kidogo. Na wala usisikilize wale wanaokushauri kufanya jambo la kiibilisi kama hilo.

Naona ni vyema ukamtengea sehemu huyo mama mkwe, hata kama kwa kufanya partition na umuwekee hata ka Tv cha kumshughulisha.

Jengine mtafutie mzee mwenzake ampe kampani itampunguzia mawazo.
 
Mkuu sema hicho kitu ambacho unadhani Mama anakita, ili jamaa aweze kumpatia....usojali hats kama unahisi ni cha kijinga. Nina wasiwasi labda Mama aliona pia michirizi ya majimaji yakitoka chini ya mlango ....ndio ilichangia pia kumfanya achungulie. Tusimlaumu sana Mama inaonekana sio kosa lake, kosa ni la watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…