Mama mkwe hataki niolewe na mwanaye kisa mimi ni Mchaga

Mama mkwe hataki niolewe na mwanaye kisa mimi ni Mchaga

Hawana shida yoyote dada zangu wale..

Tatizo lao ni moja tu, sio wanyonge huwezi kumuonea nae anakua na sauti aka kibass,wanajiamini ukimzungua kesho unamkuta kwao[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa huyo sio mwanamke wa kuoa..... Mtu mkipishana anakimbilia kwao hapo umeoa mwanamke au mtoto?!
 
Hawa wadada wa siku hizi hata kupika hawajui.
Yaani unajikuta utaishi na mzigo maisha yako yote.
Shida zote za Nini?

Ukimpenda utamfundisha kupika vile unapenda kula.
 
Hapana mama ndoana tatizo na Mimi niliwaza mwanzo mama wewe Ila Kuna wakati waligombana sana kisa hili swala na Mimi nilimsikia mama mwenyewe simu ilikuwa na sauti na sahivi mtoto wake naye kachanganyikiwa haelewi afanyaje Mimi ndo inanibidi tena nimtie moyo

Polee.
 
Daah! umenikumbusha sana nilivyokuwa na demu wangu mchaga, wachaga huku mtaani imejengeka imani kuwa siyo watu wazuri kabisa eti ukipata mali nyingi mwanamke wa kichaga anaweza akakuua ili arithi mali zote yeye [emoji846][emoji846][emoji41]
 
Kinachoshangaza watu hao ndugu zake hawanijui hata huko mtwara sijawahi kwenda ndomana mtoto wao aliwambia mtu hata hamumjui mnaanza kumchukia na mkikaa nae si itakuwa shughuli, yani nyie acheni tu imefika hatua mama mtu ikipita hata masaa 5 hajapigiwa simu na mwanae utaskia toka uwe na huyo mwanamke umebadilika kitu kidogo ambacho Mimi sihusiki utaskia toka uwe na huyo mwanamke umebadilika me wakati mwingine huwa nacheka tu maana vingine vinachekesha
Hapa tatizo kubwa sio kama mama mkwe anakujua unatabia mbaya,ila anaamini wachaga hawafai.ndo tatizo.

Na seriously wazazi wengi wa makabila mengine wanaamini hivyo.
 
Huwa wanatuteka tunakuwa watu wa uchagani.
Yaani unakuta wajukuu wanakujua Moshi kuliko bulongwa huko.
Haya Mambo wazazi wa mikoa hii yanawauma Sana.
Hili liko wazi na linafahamika
Ukiwa legelege lazima iwe hivyo! Halafu usisahau mchagga huwa anaondoka na mguu mmoja na mwingine unabaki kwao. Ukiwa ngangari kama sie wananyoka ila ujiweze kielimu na kimapato (hapo ungangari wako utakuwa na maana)
 
NI KWELI NAMI NATOKEA MIKOA HIYO,

IKO HIVI:

WANAWAKE WENGI/WOTE WA KICHAGA WANAMALEZI KAMA WANAUME FLANI HIVI, TENA BORA UKAISHI NA MWANAUME KULIKO MWANAMKE WA KICHAGA.

HAWANA ZILE SIFA ZA UKIKE KIKE KAMA WANAWAKE WENGINE, NA UKIOA MCHAGA LAZIMA UWE NA MWANAMKE WA PEMBENI (NI LAZIMA, CHUNGUZA). HUYU TAKUFANYA UONEKANE MWANAUME NA ATAKUKAMILISHA KWENYE MAHITAJI YA SEX.

NA NDOA ZENYE KUDUMU ZA WACHAGA NI ZILE ZA WAO KWA WAO, KWANI UTAMADUNI WA JEURI, KIBURI,DHARAU NA UKATILI NI SEHEMU YA MAISHA YAO.LAKINI HIZI ZA MCHANGANYIKO NA MAKABILA MENGINE HAZIDUMU, KWANI TABIA HIZO NI SUMU KALI KWENYE UPENDO. ZINGINE ZIPO TU KWA SBB YA MACHO YA WATU.

NI KWELI HAWA WATU WANAONGOZA KUOLEWA/KUOA NA NI HAWA HAWA WANAONGOZA KWENYE TALAKA. SEMA KWENYE TALAKA HAKUNA MBWEMBWE KAMA HARUSINI.
PITIA TAARIFA ZA MIGOGORO YA NDOA NA TALAKA ZA KKKT, RITA, MAHAKAMA ZA MWANZO, NDOA ZA HAWA WATU SIO, NI CHACHU SANA.

SIONGEI KWA UBAYA, NI VEMA WAO KWA WAO WAKAOANA, KINYUME NA HAPO JIANDAE KWA NDOA NGUMU!
Umesahau kuwa na wao wanawake ni wachepukaji maarufu
 
Unaona sasa. Yaani mtoto unamkatalia mabinti tena amezaa nao halafu eti utegemee mabinti zako au wajukuu zako wa kike watafanikiwa. Kuna familia mabinti na wajukuu wanazalia tu nyumbani kumbe ukichimbua utakuta ni manunguniko ya mabinti waliozalishwa huko nyuma na kuacha. Akitamka laana inafuata kizazi cha kike mpaka cha nne unashangaa wanazalishwa na hawaolewi.

Mimi wanaopendana makabila tofauti huwa naulizia wazi mbele yao wote kuwa makabila yenu haya mnafahamiana vyema dos and donts? Mnakubali kuyaishi? Wakijibu ndiyo sina pingamizi. Muhimu wapendane na wawe na life vision ya kuwapeleka mbele kimaisha. Full stop.
Kweli kabisaa Mkuu laana zipo yani...

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom