Mama mkwe hataki niolewe na mwanaye kisa mimi ni Mchaga

Hawana shida yoyote dada zangu wale..

Tatizo lao ni moja tu, sio wanyonge huwezi kumuonea nae anakua na sauti aka kibass,wanajiamini ukimzungua kesho unamkuta kwao[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa huyo sio mwanamke wa kuoa..... Mtu mkipishana anakimbilia kwao hapo umeoa mwanamke au mtoto?!
 
Hawa wadada wa siku hizi hata kupika hawajui.
Yaani unajikuta utaishi na mzigo maisha yako yote.
Shida zote za Nini?

Ukimpenda utamfundisha kupika vile unapenda kula.
 

Polee.
 
Daah! umenikumbusha sana nilivyokuwa na demu wangu mchaga, wachaga huku mtaani imejengeka imani kuwa siyo watu wazuri kabisa eti ukipata mali nyingi mwanamke wa kichaga anaweza akakuua ili arithi mali zote yeye [emoji846][emoji846][emoji41]
 
Hapa tatizo kubwa sio kama mama mkwe anakujua unatabia mbaya,ila anaamini wachaga hawafai.ndo tatizo.

Na seriously wazazi wengi wa makabila mengine wanaamini hivyo.
 
Huwa wanatuteka tunakuwa watu wa uchagani.
Yaani unakuta wajukuu wanakujua Moshi kuliko bulongwa huko.
Haya Mambo wazazi wa mikoa hii yanawauma Sana.
Hili liko wazi na linafahamika
Ukiwa legelege lazima iwe hivyo! Halafu usisahau mchagga huwa anaondoka na mguu mmoja na mwingine unabaki kwao. Ukiwa ngangari kama sie wananyoka ila ujiweze kielimu na kimapato (hapo ungangari wako utakuwa na maana)
 
Umesahau kuwa na wao wanawake ni wachepukaji maarufu
 
Huwajui Wachaga wala hujawahi kuishi nao acha kuleta taharuki.
Mods wanatakiwa kufuta hii comment maana inaleta taharuki
Huyo jamaa hajakosea, ni ukweli unaouma kwa sie tulio nao
 
Kweli kabisaa Mkuu laana zipo yani...

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…