Mama mkwe hataki niolewe na mwanaye kisa mimi ni Mchaga

Kusema kweli mikoa ya Mbeya na iringa kwenu ukisema unaoa uchagani hakuna anayekuelewa.....sijui wachaga waliwafanya nini wazee wetu, nimeishi mikoa yote ,wazee wengi wamewasusia watoto wao Proposal za kuoa uchagani
Ni kweli kabisa! Ila wanasema mwanamke wa kichaga akiolewa na kijana wa mikoa hii,huakikisha anamtenganisha na ndugu zake,kwa hio kijana anakuwa anaangalia ukweni tu,hata anahama kwenda mbali na ndugu zake. Sasa usiombe awe na mali ndio kabisaaa!!.
Wazazi wanaona wamepoteza mtoto akienda kuoa huko uchagani. Nadhani wanamifano mingi katika jamii zao,hawafanyi tu bahati mbaya.
 
Acha tu ndugu yangu nikikumbuka siku ya mahari wazazi wangu walivyofurahi ulikuja ukoo mzma hapa wanasubiri tu ndoa nahisi kudata huyu mama Hana huruma hata kidogo basi awafikirie hata wazazi wangu nawaza ndugu wote wale tutawaambiaje natamani hata nife
Wamama mkwe sielewagi wana matatizo gani na wakwe zao Yani Karibu wote wanafanana tabia..

Chamsingi Mkifanikiwa kuoana Ni vema mkaishi mazingira tofauti na nyumbani
 
Acha tu ndugu yangu nikikumbuka siku ya mahari wazazi wangu walivyofurahi ulikuja ukoo mzma hapa wanasubiri tu ndoa nahisi kudata huyu mama Hana huruma hata kidogo basi awafikirie hata wazazi wangu nawaza ndugu wote wale tutawaambiaje natamani hata nife
Mimi nakushauri usimchukie mama mkwe,kama mama analinda kilicho chake,hata wewe ungefanya hivo ktk mazingira ya wasiwasi huwezi mruhusu mwanao aingie ndoani. Jaribu kuangalia tatz ni nini,ikiwezekana ongea nae kwa usaidizi wa mtu mzima mwenye busara zake. Labda itamuondoa hofu.
 
Pole sana shemeji, hii changamoto nilishaipitia ila yakwangu ilikuwa pande zote mbili[emoji3] Mama yangu hakutaka nioe mchaga na Baba mkwe nae hakutaka mwanae aolewe na Muislam.
Msimamo wangu na wa mwanamke ndio vilifanya mpaka leo tupo kwenye ndoa miaka 12 sasa.
 
Asante sana Mimi na msimamo mchumba wangu naye ana msimamo Ila Mimi nakosa tu amani naona Kama inaweza fika sehemu labda akajikatia tamaa kutokana na hii changamoto maana duniani nako Kuna mengi
Pole sana shemeji, hii changamoto nilishaipitia ila yakwangu ilikuwa pande zote mbili[emoji3] Mama yangu hakutaka nioe mchaga na Baba mkwe nae hakutaka mwanae aolewe na Muislam.
Msimamo wangu na wa mwanamke ndio vilifanya mpaka leo tupo kwenye ndoa miaka 12 sasa.
 
Kwa kifupi tu huyu mama hana sababu ya msingi mwanae Kuna wakati ananiambia kuwa mama yake hampendi mara alikuwa anatamani mtoto wake wa kwanza ndoangeoa kwa harusi, mara dada yaye sijui ana nionea wivu pengine ndoanamjaza maneno mama yake yani Mimi naona tu ni uswahili unaendelea nahisi wameamua tu kutumia kabila langu Kama kivuli Cha kuficha mambo yao
Mimi nakushauri usimchukie mama mkwe,kama mama analinda kilicho chake,hata wewe ungefanya hivo ktk mazingira ya wasiwasi huwezi mruhusu mwanao aingie ndoani. Jaribu kuangalia tatz ni nini,ikiwezekana ongea nae kwa usaidizi wa mtu mzima mwenye busara zake. Labda itamuondoa hofu.
 
Pole mshiki hao chasaka wanashida sana, naona kama unamtilia shaka jamaa yako juu ya uamuzi wake wa kufunga ndoa bila ya uwepo wa ndugu zake kuwepo, Inaonekana jamaa hana msimamo ndiyo maana umemtilishaka anaweza akabdilisha mawazo,nafikiri wewe ndiyo unamjua zaidi.

Nakushauri msikilize shaurianeni mfunge ndoa kimya kimya serekalini muendelee na maisha yenu.

Pili shirikisha watu wazima au hata wazazi wako wakae na kijana wamtie moyo muone namna nzuri ya kushughulia hilo huenda wazee wakawa na ushauri wa busara zaidi, kufunga ndoa bila pande moja kushiriki nayo ni mtihani mwingine.

Ila poleni sana
 
Mchumba wangu ana msimamo sana sema sahivi yuko ktk kipindi kigumu sana ili swala linamuumiza sana hofu yangu ni kwamba anaweza akakutana na watu wakampa maneno ya kumkatisha tamaa mfano; mara ndoa haitokuwa na baraka, mara msikilize mama sijui ndokakuzaa, mara mwanamke uliyenaye bdo hujazaa nae so huna Cha kupoteza achana nae na vinginezo ukiangalia naye ni binadamu ndokinachoniwazisha Ila kwa ninavyomjua ana msimamo na ananipenda
Pole mshiki hao chasaka wanashida sana, naona kama unamtilia shaka jamaa yako juu ya uamuzi wake wa kufunga ndoa bila ya uwepo wa ndugu zake kuwepo, Inaonekana jamaa hana msimamo ndiyo maana umemtilishaka anaweza akabdilisha mawazo,nafikiri wewe ndiyo unamjua zaidi.

Nakushauri msikilize shaurianeni mfunge ndoa kimya kimya serekalini muendelee na maisha yenu.

Pili shirikisha watu wazima au hata wazazi wako wakae na kijana wamtie moyo muone namna nzuri ya kushughulia hilo huenda wazee wakawa na ushauri wa busara zaidi, kufunga ndoa bila pande moja kushiriki nayo ni mtihani mwingine.

Ila poleni sana
 
Asante

Mama mkwe ana level gani ya education pamoja na mashemeji na wifi zako? Wanapata support gani toka kwa boyfriend wako? Nadhani kuna peer pressure kubwa na mama mkwe amechanganyikiwa 😭😭
 
hakuna ndoa hapo , hata hao watoto mama mkwe hatowapokea hata kiduchu

na ukibeba mimba tu, unakua SINGO MAZA hapohapo

uyo sio mama wa kwanza kuwakataza wanao wa kiume wasioe wanawake wa kichaga, sijui sababu ni nini hasa
 
Mama mkwe sijui ana level gani Ila alikuwa mwalimu wa primary kastaafu mwaka Jana na ndugu zake Wana degree
Mama mkwe ana level gani ya education pamoja na mashemeji na wifi zako? Wanapata support gani toka kwa boyfriend wako? Nadhani kuna peer pressure kubwa na mama mkwe amechanganyikiwa [emoji24][emoji24]
 
Hata angekuwa mwanangu ningemzuia kuoa mchaga maana wengi hawana utu, wao pesa Mbele.

Katika maelezo yako tayr imeonesha hujali maamuzi ya wazazi wake. Kitendo cha kkubaliana mfunge harusi bila ndugu zake kuwepo hilo nalo ni tatizo.

Mwanamke mwenye busara tofauti na mchaga angesisitiza jamaa awashawashi ndugu zake na kuhusisha wachungaji na ndugu upande wako.
Naamin Watu wazima wakikaa na kuwashauri hao wazazi wa kiume wasinge goma, inaonesha wapo dilemma roho nyingine inasema acha wafunge lkn ikifika muda roho zao zinagoma maana wazazi huwa wanaona Mbali sana.
 
Back
Top Bottom