Ni kweli kabisa! Ila wanasema mwanamke wa kichaga akiolewa na kijana wa mikoa hii,huakikisha anamtenganisha na ndugu zake,kwa hio kijana anakuwa anaangalia ukweni tu,hata anahama kwenda mbali na ndugu zake. Sasa usiombe awe na mali ndio kabisaaa!!.Kusema kweli mikoa ya Mbeya na iringa kwenu ukisema unaoa uchagani hakuna anayekuelewa.....sijui wachaga waliwafanya nini wazee wetu, nimeishi mikoa yote ,wazee wengi wamewasusia watoto wao Proposal za kuoa uchagani
Wazazi wanaona wamepoteza mtoto akienda kuoa huko uchagani. Nadhani wanamifano mingi katika jamii zao,hawafanyi tu bahati mbaya.