Mama mkwe hataki niolewe na mwanaye kisa mimi ni Mchaga

Wewe huna haja na ndoa, una haja na harusi. Kama ni kweli una haja ya ndoa hapo hakuna ndoa fanya mambo mengine tu, ukae ukielewa ukishaolewa wewe ni mali ya mumeo na familia yake. Shupaza shingo hapo.
 
Hawana shida yoyote dada zangu wale..

Tatizo lao ni moja tu, sio wanyonge huwezi kumuonea nae anakua na sauti aka kibass,wanajiamini ukimzungua kesho unamkuta kwao[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbee ipo hivo
 
Mkuu nikweli au ni story za vijiweni tu, lakini mbona mwanzo wa uchumba huwa wanakuwa na upendo mkubwa sana, maana nakumbuka nilibadilisha namba ya simu lakini haliweza kuja kunitafuta mkoa nilipo mpaka akanipata kwa picha tu
 
Baba uchumba hauna shidaa... OA uweke ndani..

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nikweli au ni story za vijiweni tu, lakini mbona mwanzo wa uchumba huwa wanakuwa na upendo mkubwa sana, maana nakumbuka nilibadilisha namba ya simu lakini haliweza kuja kunitafuta mkoa nilipo mpaka akanipata kwa picha tu
Nilichoambiwa ni kwamba wana ulimi mzuri sana.akizungumza na wewe utazani anakuonea huruma sana au anakupenda sana,kumbe anakulia timing uingie kwenye 18 zake.sababu ameona fursa flan hiv kwako ambayo unaweza usiijue
 
Nimekuelewa, Dunia hii sitaki tena nichukulie vitu powa
 
Asante ntafanya hvyo
Funga piga magoti omba msaada wa roho mtakatifu kwa akili yako hutaweza kupata jibu. Muombe Mungu akupe unachostahili kama ni wako atabaki kuwa wako naamini kila penye riziki hapakosi fitina. Hilo ni jaribu tu mdogo wangu pambana Manka.
 
Asante sana
 
Kusema kweli mikoa ya Mbeya na Iringa kwenu ukisema unaoa uchagani hakuna anayekuelewa.....sijui wachaga waliwafanya nini wazee wetu, nimeishi mikoa yote, wazee wengi wamewasusia watoto wao Proposal za kuoa uchagani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nadhani kuna vita ya kijadi
 
Eti reference kubwa nyanda za juu[emoji1787][emoji1787]
 
Wanawake bwana daah
 
Marangu..

Wadada wakimarangu shida yao ni kuringa,wanajisikia sana utadhani hawaendi haja[emoji23][emoji23][emoji23] au nasema uongo mom Espy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee

Enhee
Wamachame wapoje?
 
uzoefu ni kwamba mkifikia hatua ya kupata nyumba, gari na kitega uchumi endelevu mkeo anaanza kukuwekea steel wire kwenye chakula ndan ya miaka 5 unakufa kwa saratan ya utumbo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
The funny part mifano majority ni nyanda za juu kusini[emoji28][emoji28]

Mbona tunasahau majority ya familia waendeshaji ni akina mama. Yaan kila anayeoa mchagga ndo ana hela[emoji23][emoji23] mbona hamsemi pia kunao mabinti wako poa financially na vipato vyao?

Nyie ongeeni kwa chuki tu ila sisi wala hatuna tatizo.

Sote twajua life expectacy kwa wanaume huwa ni ndogo zaidi kutokana na factors zilizo wazi... na hii ni kwenye jamii zote. As if mikoa mingine wake zao ndo wamefariki sana wanaume wapo...
Hizi chuki tuziache. Na pia tusipende kujiona tumekamilika, si wanaume si wanawake. Sisi siyo malaika.

Halaf hii part ya kujenga ukweni bwana[emoji28][emoji28] mimi nitoe pongezi zangu za dhati sana kwa akina mama wote wanaopambania miji yao na si kwa makabila. Wamama wengi ndo huhudumia familia... tuache kuhamisha magoli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…