Maamuzi anayo mumeo mtarajiwa(mchumba).
Ila angalia miaka 30 mbele, usipokubalika wewe ujue hata wanao, wajukuu wa mama mkwe wako hawatakubalika.
Kama amani hakuna usilazimishe, japo wanaume ni wachache ila bado wako wengi duniani.
Kama una roho ya kupambana ingia ulingoni olewa, ila usilazimishe sasa hivi halafu baada ya miaka 2 ukimbie ndoa kuwa mama mkwe sio... dalili umeziona mapemaaa.
Mapenzi yatakuumiza, ukiyapuuza uliyempenda sana pia unamsahau vilevile na anakuja mwingine anakava nafasi ya jamaa.
NB: Kiukweli nimesoma kichwa cha uzi tuu, uzi wenyewe sijausoma [emoji12][emoji12]