Hahaha wa huko kwetu kabila fulani hivi wanajisikia, wanajidai na majivuno sana, lakini hawana kitu mbwembwe tu.Nanye Go,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3],kabila gani hao
Usiwe na haraka utaona inajirudia Kwa naniinajirudia kwa nani?
kuna watu hawajazalisha single mothers lakini watoto wao wamezalishwa,you dig??Usiwe na haraka utaona inajirudia Kwa nani
nasubiri mrejeshoHahaha wa huko kwetu kabila fulani hivi wanajisikia, wanajidai na majivuno sana, lakini hawana kitu mbwembwe tu.
Hili tatizo limeota sugu na sijui hata nitalimaliza vipi bila kuachana na huyu mwanamke.
Kutoka wapi iko hivyo na itabaki hivyo.nasubiri mrejesho
huna mpango wa kuwatimua??Kutoka wapi iko hivyo na itabaki hivyo.
Unaweka msimamo. Kila mtu akae kwao.Unawafanyaje, kuwafukuza siwezi na kwangu kumekuwa kwao, ndugu zangu kwangu hawatii mguu, wao hivyo ndio wanataka lakini kwangu imekuwa ngumu.
inategemea na kabila mkuuAsingeoa maana hii ni roho mbaya
Wakishua ndo wanaongozaga kufuga ndugu
Unaanzaje kuwaambia mashemeji, mama mkwe na baba mkwe nipisheni na mkeo ndiye facilitator wao ingawa hafanyi kazi yoyote.Unaweka msimamo. Kila mtu akae kwao.
Unaanzaje kuwatimua mama mkwe na mashemeji na dada yao ndiyo kinga yao?!huna mpango wa kuwatimua??
Kama umeajiriwa omba likizo hata ya siku 14 au 28 andika barua umesimamishwa kazi. Punguza hela kama wewe ndo mnunuzi nunua vitu vichache wataondoka tu.Unaanzaje kuwaambia mashemeji, mama mkwe na baba mkwe nipisheni na mkeo ndiye facilitator wao ingawa hafanyi kazi yoyote.
Msimamo unauwekaje?!
Kama umeajiriwa omba likizo hata ya siku 14 au 28 andika barua umesimamishwa kazi. Punguza hela kama wewe ndo mnunuzi nunua vitu vichache wataondoka tu.
Mi siwezi lea watu
Hata nikienda likizo mkoani mwezi mzima wao wanabaki Dar, ninavyohisi hata nikifukuzwa kazi nikaondoka wao watakuwa wa mwisho kuondoka kwangu na watanifuata popote, maana hawana mpango wa kwenda kokote kule zaidi ya kuishi alipo mke wangu.Kama umeajiriwa omba likizo hata ya siku 14 au 28 andika barua umesimamishwa kazi. Punguza hela kama wewe ndo mnunuzi nunua vitu vichache wataondoka tu.
Mi siwezi lea watu