Mama mkwe na mwana wote wanapiga mbonji kwangu

Mama mkwe na mwana wote wanapiga mbonji kwangu

Nanye Go,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3],kabila gani hao
Hahaha wa huko kwetu kabila fulani hivi wanajisikia, wanajidai na majivuno sana, lakini hawana kitu mbwembwe tu.

Hili tatizo limeota sugu na sijui hata nitalimaliza vipi bila kuachana na huyu mwanamke.
 
Kwa hilo shababi unaweza mchukia lakini kwa mama mkwe asee huyo ni Kama mama yako
 
Mkaushie tu,mambo yake yakikaa sawa ataondoka.
 
Hahaha wa huko kwetu kabila fulani hivi wanajisikia, wanajidai na majivuno sana, lakini hawana kitu mbwembwe tu.

Hili tatizo limeota sugu na sijui hata nitalimaliza vipi bila kuachana na huyu mwanamke.
nasubiri mrejesho
 
Nyie si ndo mnasemaga wanawake hawapendi ndugu wa mume? Na wengi wenu mmejaza ndugu zenu majumbani kwenu. Pambana tu na hali yako mkuu, ndoa ni uvumilivu.
 
Kwenye suala LA majukumu kuongezeka na ugumu wa maisha nakuunga mkono kabisa,tunapenda kushirikiana ila ukali wa maisha ndio unatushinda
 
WASWAHILI ni watu wa ajabu ajabu mara nyingine.

Wanafikiri maisha ni rahisi tu.
 
Unawafanyaje, kuwafukuza siwezi na kwangu kumekuwa kwao, ndugu zangu kwangu hawatii mguu, wao hivyo ndio wanataka lakini kwangu imekuwa ngumu.
Unaweka msimamo. Kila mtu akae kwao.
 
Unaweka msimamo. Kila mtu akae kwao.
Unaanzaje kuwaambia mashemeji, mama mkwe na baba mkwe nipisheni na mkeo ndiye facilitator wao ingawa hafanyi kazi yoyote.
Msimamo unauwekaje?!
 
huna mpango wa kuwatimua??
Unaanzaje kuwatimua mama mkwe na mashemeji na dada yao ndiyo kinga yao?!
Yani humu ndani nahisi hata mimi hawanitaki ila kwasababu wananitegemea mimi kwa kila kitu hawana jinsi, ila ndugu yangu hapa hakatizi hata kwa bahati mbaya.
Wamejaa wamejimilikisha kwangu kumekua ndio kwao.
 
Unaanzaje kuwaambia mashemeji, mama mkwe na baba mkwe nipisheni na mkeo ndiye facilitator wao ingawa hafanyi kazi yoyote.
Msimamo unauwekaje?!
Kama umeajiriwa omba likizo hata ya siku 14 au 28 andika barua umesimamishwa kazi. Punguza hela kama wewe ndo mnunuzi nunua vitu vichache wataondoka tu.
Mi siwezi lea watu
 
dah!!hii strategy jamaa akiitumia basi kuna 78% ya kufanikiwa,kibaya ukirudi kazini wanarudi tena kukupongeza hata miezi mi 5[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama umeajiriwa omba likizo hata ya siku 14 au 28 andika barua umesimamishwa kazi. Punguza hela kama wewe ndo mnunuzi nunua vitu vichache wataondoka tu.
Mi siwezi lea watu
 
Kama umeajiriwa omba likizo hata ya siku 14 au 28 andika barua umesimamishwa kazi. Punguza hela kama wewe ndo mnunuzi nunua vitu vichache wataondoka tu.
Mi siwezi lea watu
Hata nikienda likizo mkoani mwezi mzima wao wanabaki Dar, ninavyohisi hata nikifukuzwa kazi nikaondoka wao watakuwa wa mwisho kuondoka kwangu na watanifuata popote, maana hawana mpango wa kwenda kokote kule zaidi ya kuishi alipo mke wangu.
Hata hakuna namna.
 
Back
Top Bottom