Mama mkwe nimemueleza aje amchukue binti yake kama anaona mimi namtesa

Pole sana
Haya maisha haya
Wanaopendwa hawathamini upendo
Kwa maelezo yako mkeo hakupendi
Pole sana
Pamoja na kipato nilichojaliwa alafu mwanaume akupeleke kwanda shoping hata ya elfu 50
Ni moja ya love mark kubwa sana
Jioni hii wakati tunafunga ofisi akaja boda kaagizwa mzigo
Akakaa kusubir boss wake alipie tukawa tunaongea akasema yeye kwa siku analaza 40,000 ila tatizo wanapenda wanawake ila ela wanapata
Naamini pesa ya kula hakosi kama wewe una boda
Ila HAKUPENDI
Na pia wanawake wengi wanaigana wanavyotunzwa na waume zao
Anataka nae umfanyie hivyo hivyo ni ujinga na kitokuangalia future
Na kuendekeza haya mambo ya kutumzana
Matokeo yake mtoto wa watu unamuumiza tu
SijawH kuwa kwenye situation ya ukata sana ila namshukuru Mungu sio materialistic sana
Sijawahi gombana na mume wangu swala la uchumi kabisa ni mambo mengine
Ana pesa zake na anasimamia jukumu la kutulea familia lakini yakitokea ups and down huwa n muelewa kirahisi sana
Sijakulia maisha ya kitajiri
Gari yangu ya kwanza kuendesha ni ya mume wangu na ya kwanza kumiliki nimemununuliwa n mume wangu ila mambo yooote yanatokea naturally tu
Simforce na simuumizi
Kwa sababu jambo moja ambalo nina uhakika nalo ni kwamba nampenda sana mume wangu

Kaa chini chambua
Utagundua mkeo hakupendi
 
Sahihi kabisa..
 
Kwahiyo unahalalisha mwanaume kuchepuka akiwa na hela ila tu mradi asifirisike?

Na mwanamke amvumilie mwanaume mchepukaji kisa hela ipo wanafaidi yeye na michepuko, ila mwanaume akifirisika basi walaumiwe michepuko kwa matumizi (as if mwanamke wa ndoa hakutumia) kisha mwanamke amuache mume mufirisi?

Sasa unaitaja ndoa au umalaya.
 
🤣🤣🤣 mm naona uyo sy level yako broo maana hapo chuma mbili zimekutana mmoja n mzaifu wa mapenz na jambaz kuu hapo n pesa mbele kama tai mwsho hapo lazm maji na mafuta ya jitenge swala la mda tu
 
Pole saana siku ukichoka kweliii utafanya uamuzi sahihi
 
Ulimvyompia mama yake amesemaje? amekuja kumchukua? akija mwambie asirudi tena,

Kosa hela ujue tabia ya mkeo
 

Mlifanya joint-venture mkuu, kwanza n kabila gani huyo mwenza wako?
 
HUNA MKE HAPO! ACHANA NAE KABLA MAMBO HAYAJAHARIBIKA
 
Huu uzi wako sikuchangia mwanzo ila nilivoona umepost tena uzi mwingine kuhusu huyu mwanamke dah! Nmejikuta nakuhurumia saana kwa maana ni jinsi gani huyu mwanamke anakutesa akili usahuri wangu.
Kwanza mpe likizo kidgo aenda kwao au kwenu akapumzike upumzishe akili
Lakini pia angalia unaelekea kupata matatizo mengi ya kiafya hvyo jua kuwa mlinzi wa afya yako ni wewe mwenyew.
Kumbuka kwa kazi yako hyo ya boda kama ukitoka home hakuna amani unaweza kuhatarisha hata maisha ako na unaweza kukosa hata umakin kazn na kukosa abiria
Kwani chief mna watoto wangapi? Piga chini huyo MBUZI tafta pisi kali kumzidi ili umkate domo
 
Wanawake hapana,yaan maisha yanakuvuruga huku nae anakupeleka mputa

Sitahau wakat akiba yang yote imeisha baada ya kupoteza kaz afu mwanamke kila siku ananiimbia wimbo wa kujenga tutoke kwenye kupanga,wakat huo nikipga hesabu za miezi miwili mbele sioni ramani ya maisha kabisa
 
Bidada huyo jamaa hana hizo tabia unamuhukumu bure ninamjua tusipende kukariri maisha bila kumjua mtu alivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…