Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Tulia weweHapa umeweka mapungufu ya mkeo tu. Weka na yako story ikae sawa ijulikane shida iko wapi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia weweHapa umeweka mapungufu ya mkeo tu. Weka na yako story ikae sawa ijulikane shida iko wapi.
Umetisha sanaaaHamfiki kokote walah,kipindi cha kuwa karibu na mme ndo hichi hapa mbona watu sio waungwana?
Hata sisi mnatuona hivi leo sio kwamba wanaume zetu tuliwakuta nazo na pamoja na hayo sio kwamba huwa hawayumbi.
Leo mkiona tunaishi kama malikia jueni tulitengeneza njia
Umemuoa? Au sogea tupike?Huyu mwanamke walinipa kwa nguvu wazazi wake ...baada ya yeye kupata mimba
Wanawake wamageuka "competitors" wa wanaume na sio "partners".......inahitaji akili ya Hali ya juu sana kuishi na competitorWakuu...naombeni niwaulize kitu...,hivi mfano ndani kuna Mchele,mafuta,nyanya,kitunguu,..yani kila kitu ambacho kinawezesha mtu kupika na akala kasoro mboga tu...na sio kila siku atakosa hio mboga kwakuwa ni upepo mbaya umepita..sina kazi saivi je? ni halali kusema ninamtesa mtu?
Unajua wakuu ...huyu mwanamke hajui ni kiasi gani naumia,napata shida kila siku kumuelimisha maisha ni yetu na sio ya majirani.
Anampigia mama ake huku analia kuwa mimi siachi hela,,anasahau mda huohuo mimi nimefukuzwa kazi kwa wachina sababu ya kesi ya uwizi wa mataili ...naipambania sana familia yangu ..mimi kuna mda nilikuwa natembea kwa mguu msasani hadi makumbusho ili tu tusizalilike ikitokea emergency yoyote tuwe na kiasi cha kusolve mle ndani..Mimi sio mtu wa kuenda kuombaomba hela kwa mtu sipendi kuazimwa hela.
Kuna siku nilimchukua hadi kariakoo nikamnunulia magauni mawili kila moja ni 85000,...hapo kidogo nikaona amefurahi,..ila nilimwambia najua hio ni furaha ya muda kwakuwa najua ninachokifanya ni sawa na kazi bure tu.
Ujue saivi ,,huyu mwanamke ananunanuna sana au naweza mpa maelekezo asiyafate kwa wakati hadi niaamua kuifanya hio kazi mwenyewe..
Maisha yamebadilika sana kwangu kiuchumi baada ya kufukuzwa kazi ...nilikuwa na akiba ya mil4 ndio nikafungua duka la kuuza maji ili akae dukani ila na nyingine nikanunua boda...sasa huwa simuelewi ananiambia mimi nafanya yote kwa ajili yangu kitu ambacho sio kweli..anataka tugawane faida..yani pale dukani mfano akiuza 40000...bhasi 20 yake ishirini yangu.

Bahati haipo mbaya mkuu, chukua hii kwa faida yako, ukiwa unafanya kazi kwa Mchona au Muhindi, usiwaibie, hawa watu ni hari sana na ndiomaana huwa hawapendi kupeleka Case mahakamani, usione hajabu hata hiyo boda ikapotea na ukaendelea kupata tabu.Mkuu mafundi wote tunafanya hivo pale kwa mchina ...mimi ni kama ilikuwa Bahati mbaya
😂 Asa kwani uongo? Utashangaa ukija skia upande wa mwanamke we mwenyewe unahama upande.Tulia wewe
Uyo mwanamke kichomi anamtesa mwana.😂 Asa kwani uongo? Utashangaa ukija skia upande wa mwanamke we mwenyewe unahama upande.
Pole sana ndugu mdau, nashindwa kumtetea mwanamke mwenzangu. Alipoambiwa kwenye shida na raha, sijui alifikiria ni hadithi. Kuna kupata na kukosa, afya na ugonjwa. Mtu wako ni muhimu kuliko hali mnayopitiaWakuu...naombeni niwaulize kitu...,hivi mfano ndani kuna Mchele,mafuta,nyanya,kitunguu,..yani kila kitu ambacho kinawezesha mtu kupika na akala kasoro mboga tu...na sio kila siku atakosa hio mboga kwakuwa ni upepo mbaya umepita..sina kazi saivi je? ni halali kusema ninamtesa mtu?
Unajua wakuu ...huyu mwanamke hajui ni kiasi gani naumia,napata shida kila siku kumuelimisha maisha ni yetu na sio ya majirani.
Anampigia mama ake huku analia kuwa mimi siachi hela,,anasahau mda huohuo mimi nimefukuzwa kazi kwa wachina sababu ya kesi ya uwizi wa mataili ...naipambania sana familia yangu ..mimi kuna mda nilikuwa natembea kwa mguu msasani hadi makumbusho ili tu tusizalilike ikitokea emergency yoyote tuwe na kiasi cha kusolve mle ndani..Mimi sio mtu wa kuenda kuombaomba hela kwa mtu sipendi kuazimwa hela.
Kuna siku nilimchukua hadi kariakoo nikamnunulia magauni mawili kila moja ni 85000,...hapo kidogo nikaona amefurahi,..ila nilimwambia najua hio ni furaha ya muda kwakuwa najua ninachokifanya ni sawa na kazi bure tu.
Ujue saivi ,,huyu mwanamke ananunanuna sana au naweza mpa maelekezo asiyafate kwa wakati hadi niaamua kuifanya hio kazi mwenyewe..
Maisha yamebadilika sana kwangu kiuchumi baada ya kufukuzwa kazi ...nilikuwa na akiba ya mil4 ndio nikafungua duka la kuuza maji ili akae dukani ila na nyingine nikanunua boda...sasa huwa simuelewi ananiambia mimi nafanya yote kwa ajili yangu kitu ambacho sio kweli..anataka tugawane faida..yani pale dukani mfano akiuza 40000...bhasi 20 yake ishirini yangu.
Umepiga kwenye mshono,....Tatizo letu wabongo huwa hatuna utamaduni wa kuweka akiba visingizio kibao, hapo si ajabu ulikuwa na michepuko yako ya hapa na pale ambayo imechangia wewe kufilisika, lakini cha ajabu mke ndio analazimishwa abebe mzigo wa kuvumilia umasikini wa kujitakia wa mumewe
Nataka kukukamatisha makosa wewe mwenyewe.Wakuu...naombeni niwaulize kitu...,hivi mfano ndani kuna Mchele,mafuta,nyanya,kitunguu,..yani kila kitu ambacho kinawezesha mtu kupika na akala kasoro mboga tu...na sio kila siku atakosa hio mboga kwakuwa ni upepo mbaya umepita..sina kazi saivi je? ni halali kusema ninamtesa mtu?
Unajua wakuu ...huyu mwanamke hajui ni kiasi gani naumia,napata shida kila siku kumuelimisha maisha ni yetu na sio ya majirani.
Anampigia mama ake huku analia kuwa mimi siachi hela,,anasahau mda huohuo mimi nimefukuzwa kazi kwa wachina sababu ya kesi ya uwizi wa mataili ...naipambania sana familia yangu ..mimi kuna mda nilikuwa natembea kwa mguu msasani hadi makumbusho ili tu tusizalilike ikitokea emergency yoyote tuwe na kiasi cha kusolve mle ndani..Mimi sio mtu wa kuenda kuombaomba hela kwa mtu sipendi kuazimwa hela.
Kuna siku nilimchukua hadi kariakoo nikamnunulia magauni mawili kila moja ni 85000,...hapo kidogo nikaona amefurahi,..ila nilimwambia najua hio ni furaha ya muda kwakuwa najua ninachokifanya ni sawa na kazi bure tu.
Ujue saivi ,,huyu mwanamke ananunanuna sana au naweza mpa maelekezo asiyafate kwa wakati hadi niaamua kuifanya hio kazi mwenyewe..
Maisha yamebadilika sana kwangu kiuchumi baada ya kufukuzwa kazi ...nilikuwa na akiba ya mil4 ndio nikafungua duka la kuuza maji ili akae dukani ila na nyingine nikanunua boda...sasa huwa simuelewi ananiambia mimi nafanya yote kwa ajili yangu kitu ambacho sio kweli..anataka tugawane faida..yani pale dukani mfano akiuza 40000...bhasi 20 yake ishirini yangu.
For better for worse ni kwa wanawake tu wakiwa na matatizo tuwavumilie, hakuna application kwa mwanaume akiwa na hali ngumu.Wakuu...naombeni niwaulize kitu...,hivi mfano ndani kuna Mchele,mafuta,nyanya,kitunguu,..yani kila kitu ambacho kinawezesha mtu kupika na akala kasoro mboga tu...na sio kila siku atakosa hio mboga kwakuwa ni upepo mbaya umepita..sina kazi saivi je? ni halali kusema ninamtesa mtu?
Unajua wakuu ...huyu mwanamke hajui ni kiasi gani naumia,napata shida kila siku kumuelimisha maisha ni yetu na sio ya majirani.
Anampigia mama ake huku analia kuwa mimi siachi hela,,anasahau mda huohuo mimi nimefukuzwa kazi kwa wachina sababu ya kesi ya uwizi wa mataili ...naipambania sana familia yangu ..mimi kuna mda nilikuwa natembea kwa mguu msasani hadi makumbusho ili tu tusizalilike ikitokea emergency yoyote tuwe na kiasi cha kusolve mle ndani..Mimi sio mtu wa kuenda kuombaomba hela kwa mtu sipendi kuazimwa hela.
Kuna siku nilimchukua hadi kariakoo nikamnunulia magauni mawili kila moja ni 85000,...hapo kidogo nikaona amefurahi,..ila nilimwambia najua hio ni furaha ya muda kwakuwa najua ninachokifanya ni sawa na kazi bure tu.
Ujue saivi ,,huyu mwanamke ananunanuna sana au naweza mpa maelekezo asiyafate kwa wakati hadi niaamua kuifanya hio kazi mwenyewe..
Maisha yamebadilika sana kwangu kiuchumi baada ya kufukuzwa kazi ...nilikuwa na akiba ya mil4 ndio nikafungua duka la kuuza maji ili akae dukani ila na nyingine nikanunua boda...sasa huwa simuelewi ananiambia mimi nafanya yote kwa ajili yangu kitu ambacho sio kweli..anataka tugawane faida..yani pale dukani mfano akiuza 40000...bhasi 20 yake ishirini yangu.
Hapo hakuna mke. Sasa mgawane mauzo pasu kwa pasu. Biashara itajiendesha vipi? Ndiyo maana wanaume tuna rip mapema. Tunabeba mizigo mingi ndani mioyo yetu.Wakuu...naombeni niwaulize kitu...,hivi mfano ndani kuna Mchele,mafuta,nyanya,kitunguu,..yani kila kitu ambacho kinawezesha mtu kupika na akala kasoro mboga tu...na sio kila siku atakosa hio mboga kwakuwa ni upepo mbaya umepita..sina kazi saivi je? ni halali kusema ninamtesa mtu?
Unajua wakuu ...huyu mwanamke hajui ni kiasi gani naumia,napata shida kila siku kumuelimisha maisha ni yetu na sio ya majirani.
Anampigia mama ake huku analia kuwa mimi siachi hela,,anasahau mda huohuo mimi nimefukuzwa kazi kwa wachina sababu ya kesi ya uwizi wa mataili ...naipambania sana familia yangu ..mimi kuna mda nilikuwa natembea kwa mguu msasani hadi makumbusho ili tu tusizalilike ikitokea emergency yoyote tuwe na kiasi cha kusolve mle ndani..Mimi sio mtu wa kuenda kuombaomba hela kwa mtu sipendi kuazimwa hela.
Kuna siku nilimchukua hadi kariakoo nikamnunulia magauni mawili kila moja ni 85000,...hapo kidogo nikaona amefurahi,..ila nilimwambia najua hio ni furaha ya muda kwakuwa najua ninachokifanya ni sawa na kazi bure tu.
Ujue saivi ,,huyu mwanamke ananunanuna sana au naweza mpa maelekezo asiyafate kwa wakati hadi niaamua kuifanya hio kazi mwenyewe..
Maisha yamebadilika sana kwangu kiuchumi baada ya kufukuzwa kazi ...nilikuwa na akiba ya mil4 ndio nikafungua duka la kuuza maji ili akae dukani ila na nyingine nikanunua boda...sasa huwa simuelewi ananiambia mimi nafanya yote kwa ajili yangu kitu ambacho sio kweli..anataka tugawane faida..yani pale dukani mfano akiuza 40000...bhasi 20 yake ishirini yangu.
Kwanini ufanyie kazi maneno ya lawama kutokana na mawazo yako mwenyewe ambayo mleta mada hata hajayaongea?Tatizo letu wabongo huwa hatuna utamaduni wa kuweka akiba visingizio kibao, hapo si ajabu ulikuwa na michepuko yako ya hapa na pale ambayo imechangia wewe kufilisika, lakini cha ajabu mke ndio analazimishwa abebe mzigo wa kuvumilia umasikini wa kujitakia wa mumewe