Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Mwisho wa siku hayo yote hayana maana kama halindi ile sifa yake ya zamani kwa kukimbizana na wanawake wa Diamond.
 
Wanawake ndo tulivyo,tukiona mahusiano ya mtu yamenoga twaanza jisogeza hata kama huyo mtu alitongoza mwanzon mwanamke akachomoa akimuona uchafu kituko ila kisa ana mtu na kapendeza ndo anaonekana wa maana
Adui wa mwnaamke ni mwanamke mwenzie ""...
 

Kuna wasichana wengi yu ambao walikuwa Choka mbaya wanaishi na hao wanaume za watu mumshauri Huyo Hamisa akila na kipofu ajue kunyamaza Sio Unachukua bwana wa mtu na matusi juu sasa anyamaze tu. Mwaka mwingine atajifunza
 
Ha hahaha haha haha .....Wanawake akili zenu mnazijuaga wenyewe ""....
 
Sio kosa lake mashosti na mashabik wa insta wanampa kichwa kuwa anapendwa yeye na sio zari. Hamisa angejua adui yake sio zari bali msimamo wake mwenyewe kuyumba yumba
Yani mimi ananikasirisha angekua ndugu yangu ningemtia mabao akili imjie. Wakati mwingine anajikosesha bahati za maana kung'ang'ana kwa mtu anaemtumia kulipizia kisasi
 
Kuna wasichana wengi yu ambao walikuwa Choka mbaya wanaishi na hao wanaume za watu mumshauri Huyo Hamisa akila na kipofu ajue kunyamaza Sio Unachukua bwana wa mtu na matusi juu sasa anyamaze tu. Mwaka mwingine atajifunza
Kama hakujifunza wakati anadai child support mama hatajifunza tena keshakua kenge
 
Binamu na miye nna kazi tu ila humu watu ni wanaaafiki hatuna lolote lile wivu umetujaaa na husda wengine humu kula tu shida hapa

Na kiasi tumchukie Hamisa umesoma 7yrs,4 yrs,2yrs,3 yrs(sijaangalia diploma hapo)hata kiwanja hunaaa au hata bodaboda hunaaa...mshahara wako mobeto anaingiza kwenye viatu na bags pea mbili tu!

Mtoto form four ana division four ya 32...lazima umchukie mwenzio Leo anahongwa Rav four[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16] buree wewe umehongwa sana tecno au Samsung kama miye!

Lazima umchukie mobeto!

Tukubaliane na hali zetu,mwl wangu wa uchumi kwenye Nationa Income nakumbuka factor nyingine na kua na uchumi mkubwa baadhi ya watu au nchi ni different talents[emoji3][emoji16][emoji16]shoga ndo hvyo yaani!
Tukubalini tu Hamisa na Zaru wametupita na Hamisa ni under 30...Zari ni Under 40 tofauti kabisaaaaaaa!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa pesa gani aliyonayo dai kupangisha nyumba kama ile acha story za abunuasi bana.
Basi ya Kinje mwaya ile ya South na Diamond ndo analipa kodi pale. Kama akili ya kurudisha vitu vyake imemjia ni vyema akimaliza hayo aachane na kale ka **** boy Diamond ntaanza kumuheshimu tena na yeye
 
rekebisha hapo juu" diamond hajawahi kuwa mume wamtu "" Au kibongo bongo watu wakifanya umalaya "" muda mrefu basi wanakuwa tayari ni wana ndoa ""...?
 
Hehehehehheheheheehehh hamisa jeshi la mmoja anasakamwa na watu wote hawa ,,ni tishio sana hako katoto jamanii
 
Alishawaachia zamaan ila ndo hivyo tena hawaishi kumtaja taja
Mwisho wa siku hayo yote hayana maana kama halindi ile sifa yake ya zamani kwa kukimbizana na wanawake wa Diamond.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…