Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
Husicho kielewa ni nini? tufanye huyo unayemuona katika hizo picha ni mkeo utajisikiaje?
Nimeshuhudia yule Mchumba wa Mh. Sugu ambaye wameachana hivi karibuni akifanya kituko cha ajabu ambacho hakistahili kufanywa na mwanamke anayejiheshimu na hasa yule ambaye ni mke wa kiongozi ambaye anatakiwa awe mfano katika jamii anayoiongoza. Ni vema tukamshuhudia akiwa amevaa Pampers eti kusherehekea Birthday
Shocking:Aliyekuwa Mke wa Mbunge Mh. Sugu Faiza Ally Atoa Mpya..Avaa Pampers Siku ya Sikukuu ya Kuzaliwa Kwake na Kutinga Ukumbini | Udaku Specially
Umeweka picha sawa ila hujaeleweka....Sugu alichukua uamuzi gani wa kupongezwa? Na hii ya pampers what if designer wake ndo alimshauri itamtoa?
Tatizo la Zari si kuwa na watoto wa 4 - Kwani haiingii!Hata zari ni mama wa watoto 4 (anaficha mmoja mkubwa) na anafanya yasiyostahili ila mnampongeza. Muacheni faiza aishi maisha yake. Au kwa sababu ni mtz manake kitu afanye mgeni akifanya mzawa ni tatizo.
Hahahaaa haya bana......only because I like you:A S wink:
Hahaha waarabu wa Pemba sio
Tatizo Faiza anapenda sana umaarufu na alivyojisogeza kwa Sugu na fasta akategesha mimba akaamini atatengeneza umaarufu. Lakini tabia zake zilimfanya Sugu ashtuke na akaacha hata kwenda naye Bungeni.
Baada ya mtoto waliozaa kukaa sawa Sugu kampiga chini na mtoto wake ameamua kuishi naye mwenyewe. Sasa Faiza anahangaika kivyake kusaka umaarufu. Anajiita Actress na wala sijui filamu yake hata moja.
Nadhani Sugu atajifunza sana kupitia huyu, kwamba mwanamke wa kufanya naye maisha huwezi kumpata kwenye vikao vya kunywa Konyagi pale De France, lazima yakukute kama haya.
Ova
Duu kweli huyu ni kichaa kabisa!
Haka kabinti kangu kananichanganya kichwa sana.
Tabia anazoonesha huyu mwanamke ni jinsi pia sugu anavyotafsilika kwamba ni mtu wa aina gani SUGU tutakufundisha uchaguzi ujao USIHOFU