Mama mtoto wa sugu avaa pampers kwenye birthday

Mama mtoto wa sugu avaa pampers kwenye birthday

Chini yupo fresh lakini usoni kama mwanaume au ni wigi?!
 
Mbona hata sugu yuko hivyo hivyo kutembea bila nguo kawaida tu.
 
Serikali vituko haviishi na huku uswahilini nako haviishi pia kazi kwelikweli
 
huyu mwanamke anaonesha picha halisi ya sugu. wote wanafanana. kutofautina na hata kuachana haimaanishi kuwa hawafanani. huyu ni mtu aliyeishi nae kwa muda mrefu mpaka na kuzaa watoto. na kama aliweza kukaa naye muda wote hii ni picha tosha kuwa sugu ndivyo alivyo.


Nimeshuhudia yule Mchumba wa Mh. Sugu ambaye wameachana hivi karibuni akifanya kituko cha ajabu ambacho hakistahili kufanywa na mwanamke anayejiheshimu na hasa yule ambaye ni mke wa kiongozi ambaye anatakiwa awe mfano katika jamii anayoiongoza. Ni vema tukamshuhudia akiwa amevaa Pampers eti kusherehekea Birthday

Shocking:Aliyekuwa Mke wa Mbunge Mh. Sugu Faiza Ally Atoa Mpya..Avaa Pampers Siku ya Sikukuu ya Kuzaliwa Kwake na Kutinga Ukumbini | Udaku Specially

daipa.jpg


daipas.jpg


daipa2.jpg
 
Umeweka picha sawa ila hujaeleweka....Sugu alichukua uamuzi gani wa kupongezwa? Na hii ya pampers what if designer wake ndo alimshauri itamtoa?

..!.. Hahaha, Kwahiyo Mkuu Kila Unachoshauriwa Unafanya Bila Kuchanganya Na Za Kwako?
 
Hata zari ni mama wa watoto 4 (anaficha mmoja mkubwa) na anafanya yasiyostahili ila mnampongeza. Muacheni faiza aishi maisha yake. Au kwa sababu ni mtz manake kitu afanye mgeni akifanya mzawa ni tatizo.
Tatizo la Zari si kuwa na watoto wa 4 - Kwani haiingii!
 
Tatizo Faiza anapenda sana umaarufu na alivyojisogeza kwa Sugu na fasta akategesha mimba akaamini atatengeneza umaarufu. Lakini tabia zake zilimfanya Sugu ashtuke na akaacha hata kwenda naye Bungeni.
Baada ya mtoto waliozaa kukaa sawa Sugu kampiga chini na mtoto wake ameamua kuishi naye mwenyewe. Sasa Faiza anahangaika kivyake kusaka umaarufu. Anajiita Actress na wala sijui filamu yake hata moja.
Nadhani Sugu atajifunza sana kupitia huyu, kwamba mwanamke wa kufanya naye maisha huwezi kumpata kwenye vikao vya kunywa Konyagi pale De France, lazima yakukute kama haya.
Ova

Faiza ana stress za kumkosa sugu na alishakiri kujutia kukutana na sugu kwani sugu anamuoneshea dharau. Pia kuhusu kumuambukia sugu gonorea Hii alopost mwenyewe Instagram.
 
Tabia anazoonesha huyu mwanamke ni jinsi pia sugu anavyotafsilika kwamba ni mtu wa aina gani SUGU tutakufundisha uchaguzi ujao USIHOFU

Sishangazwi na ripoti za watu wenye Iq kubwa kutoka pasipo Mwafrika hata mmoja.:thumbdown:
 
Back
Top Bottom