beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,458
- 2,496
Bado hujaeleza umejuaje Zari ana miaka 39!
Ngoja nikusaidie....ushawahi kuona cheti chake cha kuzaliwa au kitambulisho chake chochote kile kilicho rasmi kinachoonyesha kazaliwa lini?
Kabinti kako!??
Long time aiseee.., nilipoteza contact zako... nitafute
Hapa ndipo wengi wetu tunakuchukiaga
Mcheki pRIME mINISTER.
Na wewe cheusi dawaa vipiii
Huyu demu ni vampire nini???.
Waarabu wa Pemba tena...mbona kama sijakuelewa...?
Faiza ana stress za kumkosa sugu na alishakiri kujutia kukutana na sugu kwani sugu anamuoneshea dharau. Pia kuhusu kumuambukia sugu gonorea Hii alopost mwenyewe Instagram.
Tatizo Faiza anapenda sana umaarufu na alivyojisogeza kwa Sugu na fasta akategesha mimba akaamini atatengeneza umaarufu. Lakini tabia zake zilimfanya Sugu ashtuke na akaacha hata kwenda naye Bungeni.
Baada ya mtoto waliozaa kukaa sawa Sugu kampiga chini na mtoto wake ameamua kuishi naye mwenyewe. Sasa Faiza anahangaika kivyake kusaka umaarufu. Anajiita Actress na wala sijui filamu yake hata moja.
Nadhani Sugu atajifunza sana kupitia huyu, kwamba mwanamke wa kufanya naye maisha huwezi kumpata kwenye vikao vya kunywa Konyagi pale De France, lazima yakukute kama haya.
Ova

Si kanisani wala msikitini, ila ni kituko mbele za jamiiHamna mbaya kwani hapo ni kanisani?